Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Leo utasema kila neno dadadeki
Leo utasema kila neno dadadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo utasema kila neno dadadeki
Michael inavyo teteana.
nchi gani ingne duniani inayowasha mwenge na kuzungsha nchi nzima,, pia naomba kujua faida zake za kuwasha na hasara au madhra ya kuzima mwenge katk eneo husika ulipozimiaView attachment 1966437
Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge.
Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema.
Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
Sina haja ya kuomba assist, Mwenge ni ushetani na wanaoushabikia ni mashetani full stop😂😂😂😂😂😂Leo utasema kila neno dadadeki
Giresi naona unaomba msaada a.ka. assist
Sina haja ya kuomba assist, Mwenge ni ushetani na wanaoushabikia ni mashetani full stop
Neno kubwa kabisa Leo ni uhusiano uliopo kati ya Mwenge, CCM na shetani (laana)Leo utasema kila neno dadadeki😂😂😂😂😂😂😂😂
Thread nimeianzisha mwenyewe sihitaji support ya yeyote.Tayari ushaomba. Kuwataja wote wale ulikua unaomba msaada. Poor you
Thread nimeianzisha mwenyewe sihitaji support ya yeyote.
Neno kubwa kabisa Leo ni uhusiano uliopo kati ya Mwenge, CCM na shetani (laana)
Uta copy na kupaste Sana, dawa lazima ikuingie. CCM ni Chama Cha MashetaniLeo utasema kila neno dadadeki
Cha kupanic nini Sasa? Kelele zako? Au huo mstari unaou paste?Umepanic pheewww. Muomba assistView attachment 1966635
Duh...!. Mkuu Kiranja Mkuu, karibu pande hiziKwenye uzi Kama huu huwezi kuona comment ya Pascal Mayalla , jingalao, Bia yetu, USSR, johnthebaptist na wenzao maana uzi umewaumbua wanaoabudu mashetani
Cha kupanic nini Sasa? Kelele zako? Au huo mstari unaou paste?