Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Uchawi mbaya sana ule...mimi huwa sitaki hata kuuona. Unakufanya unakuwa zuzu
 
Ni kama yanga.Waliingia maagano ya kichawi kutotumia rangi nyekundu
Ccm wanapenda sana usheitwani na uchawi, ukisoma historia ya Mwenge na Forojo Ganze mchawi mahiri Tanzania aliyefahamika kwa jina la Master utashangaa.
Yaani ni uchawi mtupu
 
Ni kama yanga.Waliingia maagano ya kichawi kutotumia rangi nyekundu
Yanga nao Wana limwenge kwenye nembo yao

1633755614010.png
 
Back
Top Bottom