Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

Sijakuuliza kuhusu Agano. Usijitoe akili.

Nimekuuliza kuhusu BIBLIA.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
😅😅Biblia sio kitabu kimoja palikuwa na vitabu vya uongo mnavyodai tangu hata yesu hajakuja hizi ndo bible ya agano la kale vipo 39 then kuja yesu na kuondoka kwake.

Hapa baada ya yesu kuondoka ndo paulo akaanzisha ukristo na kuandika vitabu vyake ndo vina kamilisha bible agano jipya ...


soma ujue imeanza kuandikwa na kuandaliwa akiwa yupo hai mpaka anakufa ndo ina kamilika agano jipya still mpaka kesho bible inafanyiwa manipulation.
 
Sijakuuliza kuhusu Agano. Usijitoe akili.

Nimekuuliza kuhusu BIBLIA.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
Yesu Mwenyewe Haijui Biblia,
Injili Aliyoihuburi Yesu Iko wapi?
Injili Inakuja Kusimuliwa Na Akina Marko,Mathayo
 
Jibu nilichokuuliza.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Kama Huelewi Vitu Kaa Kimya

Hiyo Ayah Mnapenda Sana Kuitumiwa Wakristo Hamjui Maana Yake

Adui wa Jibril Aliyekuwa anamaanishwa Hapo Ni Mayahudi.
Mayahud Walisema Jibril Ni Adui Yetu(Katika Kutafuta Visingizio Vya Kumkataa Mtume Muhammad S.A.W)
Hivyo Wakasema Hatuwezi Kuiamini Qur'an kwani Wahyi Unapokelewa Na Jibril hivyo Hatuwezi Kuiamin Quran Labda Ingeshushwa Na Malaika Mikail maana Jibril Ni Adui Yetu Ameleta Maharibiko(Visingizio Vya Mayahud Kumkataa Mtume)

Hivyo Adui wa Jibril ni Mayahudi.Hivyo Mungu anawaambia Huyo Adui yenu Ndo Ameishusha Qur'an,Quran sio ya Jibril wala Muhammad bali Ni Maneno Ya Allah Hivyo uadui Wenu na Jibril Usiwafanye Mkaacha iamini Qur'an.

Huo Ndo Ufafanuzi Wa Hiyo Ayah.Kila Ayah Ina sababu Ya Kushushwa Kama Huelewi Uliza La Sivyo Tutakudharau Kukuona Hujui unakurupuka.
Qur'an Haina Shaka Ndani Yake Na Ni Muongozo Kwa Waumini
 
Jibu nilichokuuliza.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
😅😅jamani kwani huelewi hapo imekamilika kwa vitabu vyake ka agano jipya maana hata nyie agano la kale hamfauti mnasema la wana israel ..
 
[emoji28][emoji28]jamani kwani huelewi hapo imekamilika kwa vitabu vyake ka agano jipya maana hata nyie agano la kale hamfauti mnasema la wana israel ..
Mtoto wa kiume unakimbia swali rahisi namna hii?

Nikianza kukupiga maswali magumu kuna kitu utanijibu kweli???

Kwa nini Unakimbia swali?

Nauliza tena... [emoji116]

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Inashangaza sana watu wa imani nyingine wanashupalia kupindisha maandiko ya imani nyingine.

Agano Jipya lilitabiriwa na Manabii na kutimizwa na Yesu Mwenyewe.

Yeremia 31:31
Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya [emoji117]agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.

Luka 22:20
Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni [emoji117]agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.

Ukristo, na Wakristo, mwanzilishi ni Yesu Kristo
Marko 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu [emoji117]wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

Na kuahidi kulijenga Kanisa lake.
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga [emoji117]kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Ukiwauliza hayo mafundisho yao ni ya [emoji117]Agano gani, la Mungu na Wanadamu hawana Majibu.

Biblia imekamilika na haihitaji kuthibitishwa na kitabu chochote kile na Yesu alikihitimisha kwa kukikamilisha.

Utakuwa wamekaza shingo
Huyu Isa wa kwetu ndio huyo Yesu wa kwenye kitabu chenu.
Huyu Mariam ndio wa kwenye Biblia
Huyu fulani ndio wa kwenye Biblia.

Kwani Isa akibaki kama Isa wa Qurani kuna shida gani?

Sisi tunasema hakuna mtu mwenye sifa ya Isa wa Qurani kwenye kitabu chetu cha Biblia.
Full stop. hatutaki kulinganisha linganisha Biblia yetu Takatifu na viroja vya ajabu ajabu.
Toshekeni na Kitabu Chenu.
 


ANGALIA HAPA JINSI QURAN INAVYOMSHUHUDIA MUNGU KUWA HAKUMTUMA MTUME MOHAMED.

.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????

2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????

3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???


TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.
 
Mtoto wa kiume unakimbia swali rahisi namna hii?

Nikianza kukupiga maswali magumu kuna kitu utanijibu kweli???

Kwa nini Unakimbia swali?

Nauliza tena... [emoji116]

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
Jibu ilianza kuandikiwa hai ikiwa na kuandikwa kwa vitabu vyake.

Still ilifanyiwa modification mpaka alipokufa na kuja kwa agano ipya kwa kuongeza vitabu vyake 13.

Unajua kukamilika kwa bible kumechukua mda gani ?

Maana hata hujui unafikria iliandikwa kwa siku moja?
 
Sijakuuliza kuhusu Agano. Usijitoe akili.

Nimekuuliza kuhusu BIBLIA.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
Bible ina maagano mawili we hujui kuhusu bible yako kumbe 😅😅😅
 
Naheshimu sana kazi kubwa uliyoifanya ya kutafsiri na kufafanua hoja mbalimbali zilizounganishwa kupata andiko hili sadifu.

Ningependa kulikosoa lakini naangalia kwa hadhari kubwa nini cha kusema.

But ushauri wangu ni kwa wasomaji kupitia kila nukta na kumuomba Mungu ufunuo wake kupitia Roho Mtakatifu.

Nyakati hizi, wenye akili wameongezeka sana na elimu kuhusu Mungu imekuwa ya ufundi kupambana na Neno Lake
 
Bible ina maagano mawili we hujui kuhusu bible yako kumbe [emoji28][emoji28][emoji28]

Hakuna aliyekuuliza kuhusu Maagano. Mimi nimekuuliza kuhusu BIBLIA.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Paulo hajatumwa na yoyote ila amejutuma mwenyewe
Unakiri maandiko ya waislamu ni uongo ?

Koran 36:14
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).
 
Maelezo marefu ambayo wala sijakuuliza.

Swali liko direct kabisa. Mbona mwoga hivi?

Paulo akiwa hai, kitu kinachoitwa Biblia KILIKUWEPO au HAKIKUWEPO?

Wakati Paulo akiwa hai, Kuna kitabu hapa duniani kilikuwa kinaitwa Biblia? KILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Kwa hiyo waislamu mna Koran na kitabu kingine pembeni Cha maelezo?
 
Akiwa hai kilikuwepo na yeye ndo akaja na agano jipya kwa kuandikia barua 13 .

Tambua palikuwa na vitabu na nyie mnaamini tangu Mussa anaondoka biblr ilikuwepo ikiwa kama agano la kale ..Na series ya vitabu vingi mpaka mnakuja kupata agano jipya chin ya utawala wa paulo (Mtume wa uongo)


Bible imeandikwa na watu 40 na zaidi ya miaka elfu na kitu ..

Naona hata historia ya bible hujui.
 
Hakuna aliyekuuliza kuhusu Maagano. Mimi nimekuuliza kuhusu BIBLIA.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
Kama hujui maagano basi hujui chochote kuhusu bible naweza kukupa elimu kidogo..

Yaani unataka kujua kupitia mimi ila unakuwa mbishi😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…