KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha kushangaza walei ambao wao hawalipi Kodi wanawatukana na kuwasimanga walevi wanaolipa Kodi.
Hebu ndugu wafia dini, acheni kuutumia moyo kufanya tafakari, tumieni akili.