Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

Inasikitisha sana.

Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.

Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.

Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.

Cha kushangaza walei ambao wao hawalipi Kodi wanawatukana na kuwasimanga walevi wanaolipa Kodi.

Hebu ndugu wafia dini, acheni kuutumia moyo kufanya tafakari, tumieni akili.
Kwa akilil hizi ndo maana mnatengenezewa magonjwa ili mnunue Dawa
 
Duuh wazee wa kubeti watakuja na uzi wao kuwa wanachangia kodi kubwa..kiukweli kuhusu pombe Mamlaka ndio zimeruhusu,kama zinaua watu zipigwe marufuku
 
Yesu mwemyewe aligonga mvinyo na Kodi alilipa kwa Kaisari itakuwa kuwa sisi wenye nyama,damu na mifupa.Hii dunia inastress nyingi sana zinazowapelekea watu kunywa pombe.Muulize Chalamila ndio utajua umuhimu wa pombe.
 
Kama ulikuwa unatafakar ujinga si afadhali unge
Ulikuwa unatafakari ujinga si afadhali ungeendelea kulala tu walau ungeota ndoto za alinacha
Ujinga ni Nini? Je ni kipimo kipimo cha ujinga?
 
Kuna faida gani kujenga taifa na kufa??
Swali lako ni sawa kuna faida gani ya kuishi kama kuna kufa.
Bottom line is kila mtu atakufa, kila kitu kina mwisho wake, so ishi mpaka hako utakapo expire
 
Back
Top Bottom