KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Unaambiwa unywe kwa kiasi, unywe ukiwa umekula vizuri, unywe maji mengi.Kwa hiyo kwasababu pombe inachangia kiasi kikubwa ndio imeacha kuua?
Je pombe imeacha kusababisha ufukara kwenye familia huku ikileta mipasuko na mvurugano wa familia nyingi?
Je pombe imeacha kuleta madhara ya afya ya ini, moyo, saratani ya koo, saratani ya utumbo mpana na magonjwa lukuki?
Pombe ina madhara, wacha walei wawasimange walevi.
Gharama za kufanya dialysis ni kubwa mno, walevi wengi hawazinudu, mzigo unaangukia kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Kufa ndio asili ya mwanadamu na viumbe hai vyoteKuna faida gani kujenga taifa na kufa??
Dini zimeua mamilioni na zinaendelea kuua, na sitaki debate Kwa hiloKwa hiyo kwasababu pombe inachangia kiasi kikubwa ndio imeacha kuua?
Je pombe imeacha kusababisha ufukara kwenye familia huku ikileta mipasuko na mvurugano wa familia nyingi?
Je pombe imeacha kuleta madhara ya afya ya ini, moyo, saratani ya koo, saratani ya utumbo mpana na magonjwa lukuki?
Pombe ina madhara, wacha walei wawasimange walevi.
Gharama za kufanya dialysis ni kubwa mno, walevi wengi hawazinudu, mzigo unaangukia kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Uko vizuri!Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha kushangaza walei ambao wao hawalipi Kodi wanawatukana na kuwasimanga walevi wanaolipa Kodi.
Hebu ndugu wafia dini, acheni kuutumia moyo kufanya tafakari, tumieni akili.
Wakati wewe umelala, wenzako tunatafakariNilivyoangalia mda ulioandika huu uzi ilikuwa saa tisa na dakika 59 basi nikajua ulikuwa na mawenge ya usingizi baada ya kutoka kukojoa
Zinazorotesha fikra na mawazo mapyaDini zimeua mamilioni na zinaendelea kuua, na sitaki debate Kwa hilo
Hata mifugo piaHata malaya wanaweza kuingizia mapato taifa kama huko kwa wenzetu.
Hivyo vitabu vinatumika kuleta hofu ya MUNGU inayopelekea nchi kwa ujumla kuwa na Amani. Na Amani hiyo ndio chachu ya ninyi walevi kukesha baa na kulewa kwa raha zenu.Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha kushangaza walei ambao wao hawalipi Kodi wanawatukana na kuwasimanga walevi wanaolipa Kodi.
Hebu ndugu wafia dini, acheni kuutumia moyo kufanya tafakari, tumieni akili.
Kwani wanywa juice hawafi?Kuna faida gani kujenga taifa na kufa??
China kuna amani na hakuna diniHivyo vitabu vinatumika kuleta hofu ya MUNGU inayopelekea nchi kwa ujumla kuwa na Amani. Na Amani hiyo ndio chachu ya ninyi walevi kukesha baa na kulewa kwa raha zenu.
Bwana Yesu alikula na kunywa na walevi aidha alitengeneza pombe kwenye harusi ya Kana.....na 1 Timotheo 5:23 inasema..Don't drink only water. You ought to drink a little wine for the sake of your stomach because you are sick so often.Inasikitisha sana.