Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Kwa akilil hizi ndo maana mnatengenezewa magonjwa ili mnunue DawaInasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha kushangaza walei ambao wao hawalipi Kodi wanawatukana na kuwasimanga walevi wanaolipa Kodi.
Hebu ndugu wafia dini, acheni kuutumia moyo kufanya tafakari, tumieni akili.
Nani alikudanganya kuwa china hakuna dini??China kuna amani na hakuna dini
Kama ulikuwa unatafakar ujinga si afadhali ungeWakati wewe umelala, wenzako tunatafakari
Ulikuwa unatafakari ujinga si afadhali ungeendelea kulala tu walau ungeota ndoto za alinachaWakati wewe umelala, wenzako tunatafakari
Ujinga ni Nini? Je ni kipimo kipimo cha ujinga?Kama ulikuwa unatafakar ujinga si afadhali unge
Ulikuwa unatafakari ujinga si afadhali ungeendelea kulala tu walau ungeota ndoto za alinacha
Ukristo na Uislam ni marufukuNani alikudanganya kuwa china hakuna dini??
Mnanunua madawa ya viwandani sababu mmeikana asili yenu. Asili ni tiba ya MATATIZO yoteKwa akilil hizi ndo maana mnatengenezewa magonjwa ili mnunue Dawa
Swali lako ni sawa kuna faida gani ya kuishi kama kuna kufa.Kuna faida gani kujenga taifa na kufa??