MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Umeshawahi kufika mbinguni?Sayansi ni maisha ya duniani, Biblia ina maisha ya Mbinguni.
Hapo sasa utalinganishaje? Unajua nini maisha ya mbinguni?
Broo, usichukulie poa.
Bro, don't act dumb. Ulimwengu wa roho upo, na kama unataka kumjua Mungu, na habari za Mbinguni na kadhalika, jifunze kwanza kuhusu Ulimwengu wa roho.Sasa kama Mungu mwenyewe na Malaika ndio wanazifahamu?
Wewe ni Mungu au Malaika?
Wewe umejuaje?Bro, don't act dumb. Ulimwengu wa roho upo, na kama unataka kumjua Mungu, na habari za Mbinguni na kadhalika, jifunze kwanza kuhusu Ulimwengu wa roho.
Hayo maswali yako hayawezi kuthibitika kwenye ulimwengu wa mwili,
Utaona ni uzushi tuu na uwongo kwa sababu haupo mahala sahihi.
Ni sawa na mtoto wa darasa la pili ukimuuliza nne toa sita atakuambia haiwezekani, lakini wa darasa la saba anakuambia kuwa ni hasi mbili (-2).
Sijui unaelewa??
NB: kwa wote mnaotaka kujua Mungu yupo au hayupo, Mbinguni pakoje, na maswali ya hivyo, hauwezi kujua kitu mpaka uujue kwanza ulimwengu wa roho upoje.
Kwa sasa huenda kuujua ulimwengu wa kiroho ni aidha uwe kwenye imani (kuokoka) au kuwa mchawi, au vitu vya kiimani...meditations, na astral projections, etc. Naskia hadi wanajimu pia wanafahamu sana mambo haya...hata mabudha pia..
Ila miaka kadhaa ijayo, hii dhana itakua na uhalisia maana mwanadamu anahangaika kuzifungua senses zilizofungwa, uelewa wake unakua, na si punde atafikia kuweza kutumia na kuishi ulimwengu wa kiroho yeye mwenyewe pasipo imani, wala unajimu, wala asili, na kadhalika.
So, usipaniki, muda utafika tuu, ni aidha usubiri au utafute maarifa kwa namna ingine possible..au uendelee tuu kubishiabishia ujinga na kubaki kwenye giza nene/darkness
Sijajua kama wengine wameuliza,ila mtumishi kama nitapata kibari rohoni mwako,nielezee Nini maana ya nafsi na roho,vinanipa shida kuelewa ,naona ni kama ni kitu kilekile01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.
Don't forget to Meditate 🧘♂️
Sijajua kama wengine wameuliza,ila mtumishi kama nitapata kibari rohoni mwako,nielezee Nini maana ya nafsi na roho,vinanipa shida kuelewa ,naona ni kama ni kitu kilekile
Nashukuru,nmeelewaNafsi ndani yake hukaa Akili (mind).
binadamu hufanya lile ambalo akili yake imekubaliana nalo kuwa lipo sawa.
Kichaa anakula jalalani akiamini ni chakula kizuri tu kwake.
sasa iko hivi.
Roho yako + na roho mtakatifu + Roho za Majini + Roho za Kishetani.
hizo Roho zote zinaweza kufanya kazi kwa pamoja (combined) as Power Supply.
Nikuelezee kwa Mfano.
Roho - Soket ya Umeme/Generator/Power supply.
Nafsi - waya (wire) wa umeme sasa.
Mwili - Bulb 💡.
Binadamu wote tunazo Taa, na waya tunao lakini tumeshindwa kupata soket ya kuchomeka.
Pole kama nimekuchanganya zaidi.
Lakini kwa ufupi, Nafsi hubeba Akili.
na Nafsi yako kuwa na Nguvu ya kupitisha vitu Vikubwa lazima uwe na Maarifa ya Kutosha ya Kujua Mungu au
Kujua shetani kama ndie umechagua kumtumikia.
Asante mkuu,umeniongezea dawaNafsi ndani yake hukaa Akili (mind).

Biblia inasema Mungu amemuumba Mwqnadamu kwa mfano wake
Jee Mungu alikuwa
Mweupe
Mweusi
Mwanamke
Mwanaume
Mrefu
Mfupi
Mwafrika
Mzungu
Mwarabu
Mchana
Jee kwa mfano labda Mungu alikuwa Mzungu akamuumba Mwanadamu kwa mfano wake ambaye ni Mzungu, jee Binadamu ambaye siyo Mzungu ni Binaadam TIMAMU.
Huoni kwa kauli hiyo Biblia inaweza kupanda mbegu ya ubaguzi. ???
Kati ya roho na mwili kipi Mungu alianza kukiumba?Kilichoumbwa kwa mfano wa Mungu ni Roho, sio Mwili.
Mbona uzi huu umejibu swali lako.
Wewe muongo sana. Mungu alianza kumfinyanga mtu kutoka udongo wa ardhi then ndo akampilizia puani pumzi ya uhai mtu ndo akawa nafsi hai.Swali lako limejibiwa vizur tu huko juu shida hujasoma uzi wote kwa utulivu.
Ni roho ilianza kuumbwa.
Kasome biblia yako vizuri utaona kipi kilianza.Wewe muongo sana. Mungu alianza kumfinyanga mtu kutoka udongo wa ardhi then ndo akampilizia puani pumzi ya uhai mtu ndo akawa nafsi hai.
Sasa roho ilianzaje kuumbwa before mwili?
Nioneshe jinsi bible inavoeleza kuhusu uumbaji wa mwanadamu,kuhusu mirathi,kuhusu ufufuo,maisha ya siku ya kiama,maziko yni naomba unifundishe hayo kupitia bible tuUnasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.
Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?
Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Again, don't act dumb.Wewe umejuaje?
Hapo Sasa hivi upo katika ulimwengu wa nini?
Nakunukuu:
Hayo maswali yako hayawezi kuthibitika kwenye ulimwengu wa mwili,
Tena ukasema anayejua ni Mungu na Malaika.
Naona Contradiction kwenye maelezo yako mengi unayoandika.
Muda? ni kipimo gani Cha muda ndio utasema hayo mambo yapo?
Maisha yana 3.5 billion na Dunia Ina 4.5 billion.
Sisi modern man tuna miaka 2E5.
Sasa muda Gani unataka?
Hapa lazima apotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafsi ndani yake hukaa Akili (mind).
binadamu hufanya lile ambalo akili yake imekubaliana nalo kuwa lipo sawa.
Kichaa anakula jalalani akiamini ni chakula kizuri tu kwake.
sasa iko hivi.
Roho yako + na roho mtakatifu au+ Roho za Majini au+ Roho za Kishetani.
hizo Roho zote zinaweza kufanya kazi kwa pamoja (combined) as Power Supply.
Nikuelezee kwa Mfano.
Roho - Soket ya Umeme/Generator/Power supply.
Nafsi - waya (wire) wa umeme sasa.
Mwili - Bulb [emoji362].
Binadamu wote tunazo Taa, na waya tunao lakini tumeshindwa kupata soket ya kuchomeka.
Pole kama nimekuchanganya zaidi.
Lakini kwa ufupi, Nafsi hubeba Akili.
na Nafsi yako kuwa na Nguvu ya kupitisha vitu Vikubwa lazima uwe na Maarifa ya Kutosha ya Kujua Mungu au
Kujua shetani kama ndie umechagua kumtumikia.
Ukisoma Biblia zaidi ndo unazidi kugundua imeandikwa na watu ..Tena watu wajinga
Mi naomba nikueleweshe kwa urahisi.Sijajua kama wengine wameuliza,ila mtumishi kama nitapata kibari rohoni mwako,nielezee Nini maana ya nafsi na roho,vinanipa shida kuelewa ,naona ni kama ni kitu kilekile
Mwili ndio unabeba Akili (Brain), yes, ila ni kwenye ulimwengu wa mwili (flesh) ila mind inakaa kwenye ulimwengu wa roho..ambapo tukisema tutaje eneo ni lazima litakuwa ni maeneo ya hukohuko kwenye ubongo.Nafsi ndani yake hukaa Akili (mind).
binadamu hufanya lile ambalo akili yake imekubaliana nalo kuwa lipo sawa.
Kichaa anakula jalalani akiamini ni chakula kizuri tu kwake.
sasa iko hivi.
Roho yako + na roho mtakatifu au+ Roho za Majini au+ Roho za Kishetani.
hizo Roho zote zinaweza kufanya kazi kwa pamoja (combined) as Power Supply.
Nikuelezee kwa Mfano.
Roho - Soket ya Umeme/Generator/Power supply.
Nafsi - waya (wire) wa umeme sasa.
Mwili - Bulb [emoji362].
Binadamu wote tunazo Taa, na waya tunao lakini tumeshindwa kupata soket ya kuchomeka.
Pole kama nimekuchanganya zaidi.
Lakini kwa ufupi, Nafsi hubeba Akili.
na Nafsi yako kuwa na Nguvu ya kupitisha vitu Vikubwa lazima uwe na Maarifa ya Kutosha ya Kujua Mungu au
Kujua shetani kama ndie umechagua kumtumikia.
Du, broo..[emoji3][emoji3]Kati ya roho na mwili kipi Mungu alianza kukiumba?
Nadhani anataka usahihi kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, akampulizia pumzi, so, technically, pumzi imetoka kwa Mungu,Kasome biblia yako vizuri utaona kipi kilianza.
Mwanzo sura ya 1
Inasema aliumba mtu kwa mfano wake na Mungu ni roho, kwahiyo ni Roho ilianza kuumbwa.
Kisha ukiendelea kusoma
Mwanzo sura ya 2
Utaona ndio mwili unafinyangwa kutoka mavumbi ya ardhi.
Akampulizia pumzi yake mtu akawa Nafsi hai.
Kwahiyo nafsi zetu zimetokana na Pumzi ya Mungu.
I will never forget to meditatesMaswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...
01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi
Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa kupigana na taifa.
Vyanzo vingi mbalimbali vya kivita.
Serikali za kifalme zilifanya mambo gani hapo zamani.
Visa vya vita kubwa hapa duniani na sababu zake.
watu wenye nguvu na ukuu.
Mali au utajiri umeleta mfalakano makubwa sana kati ya mtu na mtu.
Mabadiliko ya hali ya hewa njaa na majanga tofauti tofauti yameelezwa.
02. Nielezee kidogo uumbaji wa mwanadamu ulikuaje kwa Mujibu wa biblia.
Mwanzo 1:26-27
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Hii sura ya Kwanza ni roho ya mwanadamu ndio ilifanywa na Mungu.
Lakini katika sura ya pili ndio tunaona Mwili ukitengenezwa.
pamoja na nafsi.
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
kwahiyo.
Binadamu ni
01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.
Ukiwa na elimu hii ni mwanzo mzuri sana wa kujua vitu vingi kuhusu...
Mambo ya rohoni na Mambo ya mwilini au
Ulimwengu wa roho na Ulimwengu wa mwili.
Sijui kama kuna kitabu kingine chenye majibu mengi sana ya maswali yangu na wengine pia kama mnamaswali.
Kama kutakua na kitabu kingine ningependa kukifahamu niweze kukisoma pia.
Uwe na Amani na furaha nafsini.
Don't forget to Meditate [emoji3286]
Wakati unaendelea kubishana hapa wapo wengine wana access maisha ya ulimwengu wa roho wakiwa hapahapa duniani,Again, don't act dumb.
Wakati unaendelea kubishana hapa wapo wengine wana access maisha ya ulimwengu wa roho wakiwa hapahapa duniani, na wanafanya mambo yao, tena makubwa kuliko maelezo, na unawatii na kuwashabikia, na hawakuambii, kwa sababu ukijua utashindana nao au kuwapita.
So, kama unaendelea kuboji ujinga ukitegemea nikufundishe kila kitu ukiwa umelala...pole.
Endelea kulala hivyoivyo.
Vitu ushaambiwa vipo, vitafute, hautaki unaanza kuleta akili nyingi..ambazo hazina maana yoyote na hazikupeleki popote.
Watu wengine sijui mpoje...bure kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
(No offense kama una nia ya kujifunza)
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app