Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Pole kwa kujaza confusions kichwani,biblia ni maneno ya watu na si ya Mungu,watu wenyewe wala hawakumsikia Mungu akisema hayo maneno maana hawakuwa manabii
Hata hiyo injili imeandikwa miaka 70-100 baada ya yesu kuondoka,waandishi wala hawakuwahi kumuona yesu,ni fasihi simulizi tu
Kama kwa kuapply yaliyoandikwa kwenye Biblia ninaweza kufukuza wachawi; ninapona magonjwa bila dawa; ninapata maarifa yanayonisaidia kuvuna mapesa; ninapata njia ya kuishi kwa amani bila kusumbuliwa na stress, chuki, hasira; ninapata nguvu ya kuepuka magonjwa ya zinaa; ninaishi bila hofu ya kifo; acha tu yaitwe Fasihi Simulizi ya Fr. Nkwera.
Just continue classifying the Bible as “oral literature” if that designation satisfies your academic framework. Such a label, however, neither diminishes its intrinsic significance nor invalidates the profound blessings I derive from reading its contents, embracing its teachings, and translating its principles into practice. You are at liberty to debate its literary classification; I remain equally at liberty to live by its message and testify to the transformative effect it has upon my life. A change in terminology does not, by itself, constitute a refutation of substance.
 
We ni Muongo unayejiamini nithibishe nini wakati kukuita Muongo ni uthibitisho tosha
Uwe unahudhuria court sessions hata mara moja kwa mwaka, ujifunze nini maana ya kuthibitisha jambo
 
Kuna watu wakiamka hawawazi watakula nini wala watakunywa nini kwa sababu wana pesa za kumwaga!
Unafikiri hao wakisoma Biblia lengo lao ni kutafuta riziki?
Mimi naisoma Biblia ili nijue jinsi ya kuishi matakatifu ili siku Yesu akija niwe miongoni mwao watakaonyakuliwa.
Mababu zako waliishi utawa bila ya kuwa na biblia,waliujua uovu na wema bila Quran na biblia!!

Biblia imeanza kuwepo hapa Africa kuanzia Karne ya 18 (1800) Hadi Leo ni miaka 226.

Unataka kusema kwamba kuanzia 0-1800 babu zetu walikua waovu wote!!?
 
Jibu la swali lako liko hapa:
Warumi 2:12-16
Watu wote waliotenda dhambi pasipo sheria wataangamia pasipo sheria, nao wote waliotenda dhambi chini ya sheria watahukumiwa kwa sheria. Kwa maana si wale wanaoisikia sheria ambao ni wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale wanaoitii sheria ndio watakaohesabiwa haki. (Naam, wakati wa watu wa Mataifa, ambao hawana sheria, wanapofanya kwa asili mambo yatakiwayo na sheria, wao ni sheria kwa nafsi zao wenyewe, hata ingawa hawana sheria. Wao wanaonesha kwamba lile linalotakiwa na sheria limeandikwa kwenye mioyo yao, ambayo pia dhamiri zao zikiwashuhudia, nayo mawazo yao yenye kupingana yatawashtaki au kuwatetea.) Hili litatukia siku hiyo Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kupitia kwa Yesu Kristo, kama isemavyo Injili yangu.
 
Kama kwa kuapply yaliyoandikwa kwenye Biblia ninaweza kufukuza wachawi; ninapona magonjwa bila dawa; ninapata maarifa yanayonisaidia kuvuna mapesa; ninapata njia ya kuishi kwa amani bila kusumbuliwa na stress, chuki, hasira; ninapata nguvu ya kuepuka magonjwa ya zinaa; ninaishi bila hofu ya kifo; acha tu yaitwe Fasihi Simulizi ya Fr. Nkwera.
Just continue classifying the Bible as “oral literature” if that designation satisfies your academic framework. Such a label, however, neither diminishes its intrinsic significance nor invalidates the profound blessings I derive from reading its contents, embracing its teachings, and translating its principles into practice. You are at liberty to debate its literary classification; I remain equally at liberty to live by its message and testify to the transformative effect it has upon my life. A change in terminology does not, by itself, constitute a refutation of substance.
Hakuna cha ku-apply kwenye biblia kikafukuza wachawi,kuponya magonjwa au kukupa hela,busha, malaria haviponi kwa biblia
 
Waefeso 4:18-20
Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao. Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kujiingiza katika kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi.
 
Hujawahi meza dawa za hospital,wewe au ndugu yako?..unatibu saratani kwa kunena kwa lugha?..grow up ppussy!
 
Yesu anafufua wafu anashindwa kuponya saratani? Grow up? Take your own advice, and start with Ephesians 4:29. Your vocabulary needs salvation before I do.
 
Yesu yuko wapi,kamfufua nani juzi,hayo makanisa mbona yanakazana kujenga hospital,wachungaji mbona wakiumwa huenda hospital?
 
Yesu yuko wapi,
Mfungulie mlango ataingia ndani yako
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami." (Ufu 3:20)
kamfufua nani
Utajuaje wakati habari za wokovu na uponyaji hutaki kuzisikia
juzi,hayo makanisa mbona yanakazana kujenga hospital,wachungaji mbona wakiumwa huenda hospital?
Mimi nimeongea kwa nafsi yangu mwenyewe, usinilinganishe na hayo makanisa au hao wachungaji.
Mtu anapona kwa imani yake mwenyewe.
Marko 5:34
"Yesu akamwambia, 'Binti, imani yako imekuponya, nenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena.'"
 
Mfungulie mlango ataingia ndani yako
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami." (Ufu 3:20)

Utajuaje wakati habari za wokovu na uponyaji hutaki kuzisikia

Mimi nimeongea kwa nafsi yangu mwenyewe, usinilinganishe na hayo makanisa au hao wachungaji.
Mtu anapona kwa imani yake mwenyewe.
Marko 5:34
"Yesu akamwambia, 'Binti, imani yako imekuponya, nenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena.'"
Umerukwa akili wewe,ukiumwa hospital chapu
 
Umeishiwa hoja/maswali umeanza matusi.
"...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi." (1 Kor 6:9-10)
 
Maandiko yanayoonyesha uongo wa shetani ni mengi sana. Ukisoma kuanzia kitabu cha Mwanzo utayaona.
Isitoshe, shetani anawatumia pia watu kusema uongo. Kumbuka yale maneno aliyosema Petro, kisha Yesu akamwambia "rudi nyuma yangu shetani"
Hapo shetani alitumia kinywa cha Petro, kama ambavyo hata leo watu wanatumiwa na shetani kuipinga Biblia
mbona hujaandika uongo wake umeandika maneno yako
 
Back
Top Bottom