Kuna mengi nakubaliana na wewe kuhusu maandiko ila hili la contradictions napingana nawe.
Japo najua kwanini hapa tutapingana. You are a Theologian and Philosopher but I'm not. Ukitaka kuunlock scripture codes kwa Theology na Philosophy lazima utaona contradictions. Ila ukisoma under the guidence of Holy Spirit unapata revelation ya hiden context in some coded scriptures.
Nakubaliana na Wewe Kabisa kwamba Bible Coded Messege nyingi sana..
ila kwa leo tuziache naomba Tuzungumzie Contradiction Moja tu kama Hutojali maana Sitaki Kuzungumza Nyingi..Sana
Uzazi wa Yesu..
Vipi Biblia Inasemaje Kuhusu Yesu alikuwa mtoto wa Nani?
Nataka Tuchambue Historia Ya yesu Kupitia Vitabu Vya Ukoo wa Yesu ambavyo Ni
Mathayo na
Luka..
na wakati Huo Tutarudi Nyuma Pia Tutafatilia Ukoo Huo Mpaka kwenye agano la Kale kwa Uhakiki zaidi..
Stay with me in calm situation..
sote tunajua Kuwa Baba wa Yesu Kwa Mujibu wa Biblia na Mila za Kiyahudi Ni Yusuf si ndiyo?
Mathayo 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.
Au Hata..
Luka 3:23
Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,
And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli,
Sasa Nataka Tuulizane kwa Pamoja Mimi Na wewe Ni nani Baba Yake Yusuph Kulingana na Ukoo w Yesu?
Kwenye Mathayo Baba Yake na
Yusuph anaitwa Yakobo!
Mathayo 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.
ila Kwenye Luka Baba yake na Yusuph
anaitwa Eli
Luka 3:23
Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,
And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli..
So Unafikiriaje Kuhusu Hilo swala?
VIPI yesu wa Kwenye Luka na Yesu wa Kwenye Mathayo Wana Koo Zinazofanana? JE ni mtu mmoja au ni watu wawili tofauti?
Koo za Yesu kupitia Mathayo na LUKA haziendani mpaka Zinakuja Kukutana tena kwa Zerubaberi..
Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Which was the son of Joanna, which was the son of Rhesa,
which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri,
Na Mathayo Na yeye akasema Hivi kuhusu Zerubabeli...
Mathayo 1:12-13
Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
And after they were brought to Babylon, Jechonias begat Salathiel; and Salathiel begat Zorobabel;
And Zorobabel begat Abiud; and Abiud begat Eliakim; and Eliakim begat Azor;
Sasa Contradiction Ya kwanza Nimekupa Kuhush Baba yake Na Yusuph na Inayoendelea Baada ya Koo Hizi Mbili zenye mtu mmoja Kutofautiana..
hii Ni Contradiction Ya Pili Kuhusu Uzao wa Yesu..
Tunaona Wote Luka na Mathayo wanakubaliana Kuwa Baba wa Zerubabeli ni sheatieli (Luka 3:27 na Mathayo 1:12-13)
Ila Wanapingana Tena Kuhusu Ni nani Baba Wa Sheatieli ..
Wakati Luka anasema Baba wa Sheatieli ni
Neri..
Na Mathayo naye kasema Hapana Ni Yekonia..
unaionaje Hiyo Sio Contradiction??
Ila Mimi Huwa napenda Kuuliza Sana Agano la Kale..
Turudi kwenye Torati na Agano la Kale, Je nani Baba wa H
Sheatieli kati ya Yekonia na Neri??
Maana Tukio Hili lilifanyika Baada ya Uhamisho wa Babeli basi mambo ya Nyakati wa Pili Itatusaidia
1 Mambo ya Nyakati 3:17-18
Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli, na Malkiramu, na Pedaya, na Shenazari, na Yekamia, na Hoshama, na Nedabia.
And the sons of Jeconiah; Assir, Salathiel his son,
Malchiram also, and Pedaiah, and Shenazar, Jecamiah, Hoshama, and Nedabiah.
KWahyo wana Wa Yekonia Mmoja wapo Ni sheatieli Kwahyo tunapats Jibu kwamba Sheatieli hakuwa Mtoto wa Neri..
Swali la Kwanza Ni kwamba Neri alitoka wapi?
Maan Haonekani kokote kwenye Vitabu vya Koo za Kale za Ukoo wa Daudi wote..
Je, Luka katudanganya Kuhusu Mtu anayeitwa Neri kuwa Ni babu wa Yesu kutoka Ukoo wa Daudi??
Tukienda kwa watoto wa Zerubabali Kwenye Biblia Agano la Kale Ukisoma Ukoo wa Daudi..
1 Mambo ya Nyakati 3:19-20
........ na wana wa Zerubabeli; Meshulamu na Hanania; na Shelomithi alikuwa umbu lao;na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano...
Hakuna mtoto Hata Mmoja anayeitwa Abihudi (Abiudi) au Rhesa Kama LUKA na Mathayo walivyotuambia Kwenye Koo zao..
Ambao wao wote wametaja watu tofauti..
Mathayo 1:12-13
Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Na luka..
Luka 3:27
.... wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
........which was the son of Rhesa,which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri....
Najua Kuna kwenye Ukoo wa Yesu Tu kuna Contradiction Nyingu sana Ikiwemo Ni mtoto gani Wa Daudi yesu alitokea Luka Anasema Ni kutoka Kwa Mtoto wa Daudi aitwaye Nathani...
Ila Mathayo anasema ni Suleimani..
Ila Bado ukisoma Baadhi ya Sehemu kwenye Biblia wanamtaja Suleiman..
Sasa Kabla sijataja Vitu vingi ambavyo bado viko vingi tu..
Huoni hizo Contradiction za Mazazi ya Yesu na Ukoo Wa Yesu Pekee Zinakupa Picha kwamba Kuna Migongano mingi ya Kiuandishi??
Tujadiliane kwa Hoja Kama Utaweza