Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

kwenye biblia shetani anapiga stori na Mungu mpaka wanapanga mipango ya kumtesa Ayubu
Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.
 
Hawa watu walitumwa na shetani waziwazi kuikosoa Biblia. Wameshangilia sana kwenye ule uzi wa "Nabii"
Nilipo-post huu uzi hali ikabadilika ghafla. Sasa shangwe zimeisha. Ukweli umejulikana - Biblia ni Neno la Mungu.

Biblia sio maneno ya Mungu, Mungu gani mwenye upendo aseme haya maneno



Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."

Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos

Na Mathayo 10:35 imeandika

"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."


Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
 
Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.

inawezekanaje Mungu anapiga story na shetani ambaye ni adui yake na kupanga mipango ya kumtesa ayubu. kwa nini Mungu asimchome moto shetani afe ila anapiga nae story na kupanga nae mipango?
 
Mkuu biblia Ina Contradiction Nyingi Nimeona Niache kwa hapo maana Huwezi pata Jibu Hata Ukikazana Kutafuta
Afadhali umerudi. Nilifikiri umeenda kulala. Karibu tena Dr.
Mimi nipo. Naendelea kupiga Injili na kumwaibisha shetani. Nimeeleza kwa kirefu tatizo la watu wanaosema Biblia ina "contraction"
 
Biblia sio maneno ya Mungu, Mungu gani mwenye upendo aseme haya maneno



Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."

Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos

Na Mathayo 10:35 imeandika

"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."


Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
Ongeza na Hii Jibu la Yesu akimpasha au Vijana wa sasa Akimpa Vichambo Herode..

Luka 13:31-32
31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.

32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.




Pia Soma hapa..
🤣🤣

Yesu anamwita Mama wa watu Mbwa Ila mama Alikuwa na Moyo akanibu Hata Mbwa Anakula Makombo...🤣🤣

Mathayo 15:23-28
23 Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.

24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.

26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

27 Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.

28 Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
 
Afadhali umerudi. Nilifikiri umeenda kulala. Karibu tena Dr.
Mimi nipo. Naendelea kupiga Injili na kumwaibisha shetani. Nimeeleza kwa kirefu tatizo la watu wanaosema Biblia ina "contraction"
Kiufupi Kuna kitu Unatakiwa Kujifunza Ungekuwa Umesoma Theology ningekukumbusha Ila ngpja Nikusaidie Jitahidi Kujibu Hoja Kulingana na Ulichouliza, Pili Kumbuka Mungu hatetewi wala Usijaribu kutetea Mpaka Ukaharibu Kitu sema Kitu kama Kilivyo Bila kuingiza Maneno yako wala Visingizio..

Na Huo ni Ujumbe wangu kwako
 
Biblia sio maneno ya Mungu, Mungu gani mwenye upendo aseme haya maneno



Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."

Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos

Na Mathayo 10:35 imeandika

"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."


Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
Yesu hakuja kuhamasisha vita au ugomvi. Badala yake, Mathayo 10:34-35 inazungumzia mgawanyiko ambao Injili inaleta miongoni mwa watu.

Yesu anaposema "sikuja kuleta amani, bali upanga," anamaanisha kuwa kuja kwake kunaleta mgawanyiko kati ya wale wanaomfuata na wale wanaompinga. Katika jamii au familia, mtu anapoamua kumfuata Kristo, anaweza kukutana na upinzani kutoka kwa ndugu na marafiki wasioamini.

Mathayo 10:35 inapotaja fitina, haimaanishi Yesu analeta chuki, bali kwamba watu katika familia wanaweza kutengana kwa sababu ya maamuzi yao ya kumfuata au kumpinga Kristo. Hili lilitokea hata kwa Wakristo wa kwanza ambao waliteswa na hata kufukuzwa na familia zao kwa sababu ya imani yao.

Kwa hiyo, maandiko hayo yanaonyesha gharama ya kumfuata Kristo, sio kwamba Yesu anahamasisha fitina au vurugu. Hii ni kweli hata leo—Wakristo wengi wanakutana na upinzani kutoka kwenye jamii zao kwa sababu ya imani yao. Si unaona hapahapa JF hali ilivyo kati ya Atheists vs Wanaomwamini Mungu? Mpaka mmoja amesema "ngoma bado mbichi" Tungekuwa tunaonana live tungeishatupiwa mawe. 🤾‍♂️
 
Kibao Sana..
Huwezi kuziona Kama Wewe Sio Msomi wa Biblia Kama Ni mtu wa Kuambiwa Biblia Ni kitabu Kisichohojiwa Utaona Kila Kitu ji sawa
Mimi nimesoma na kurudia mara kwa mara vitabu vya Mathayo,Marko,Luka,Yohana,Matendo na Ufunuo.
 
Back
Top Bottom