Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Biblia Yake umeisoma Vizuri Mungu mwenyewe anathibitisha kuwa Walikuwa kama Mmoja wao..

Shetani alisema Hivi!

Mwanzo 3:5..
..kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya...

Naye Mungu akasema hivi..

Mwanzo 3:22 ...

Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;..

Sentensi hiyo unaielewa Kweli??

Sasa Kuna Uongo Gani Hapo wakati mungu ameuthibitisha Kuwa Sio Uongo??
Soma pia Mwanzo 1:26
Mungu akasema "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu...."
 
Mimi nimesoma na kurudia mara kwa mara vitabu vya Mathayo,Marko,Luka,Yohana,Matendo na Ufunuo.
Nakupa Contradiction kadhaa kasome Ukoo wa Yesu kwenye mathayo njoo soma na Ukoo wa Yesu wa Luka halafu kalinganishe na Ukoo Unaosemwa Kwenye Agano la Kale Yaani Torati
 
Kiufupi Kuna kitu Unatakiwa Kujifunza Ungekuwa Umesoma Theology ningekukumbusha Ila ngpja Nikusaidie Jitahidi Kujibu Hoja Kulingana na Ulichouliza, Pili Kumbuka Mungu hatetewi wala Usijaribu kutetea Mpaka Ukaharibu Kitu sema Kitu kama Kilivyo Bila kuingiza Maneno yako wala Visingizio..

Na Huo ni Ujumbe wangu kwako
Unarudi kulekule tulikotoka. Wewe uliuliza maswali. Mimi nimekujibu kwa jinsi ninavyoelewa na kwa kutumia Maandiko. Kama wewe ni holder wa Doctor of Philosophy in Theology, Doctor of Theology, Doctor of Ministry, Doctor of Sacred Theology ulitakiwa upangue hoja zangu kwa usomi wako.

Si uende hata mahakamani ujifunze jinsi mawakili wanavyopangua hoja? Hoja hujibiwa kwa hoja. Mimi nimejibu maswali yako, wewe unasema sijajibu swali hata moja. Huo ni ubishi na unajiaibisha na hiyo title ya Dr.
 
Kibao Sana..
Huwezi kuziona Kama Wewe Sio Msomi wa Biblia Kama Ni mtu wa Kuambiwa Biblia Ni kitabu Kisichohojiwa Utaona Kila Kitu ji sawa
Kibao wapi. Hizo unazoita contradictions nimeishazipangua.
Biblia haisomwi kama gazeti la Udaku. Isome kwa muktadha na kwa umakini. Na ukisoma kwa mtazamo wa kuipinga ndio kabisa fikra zako zitapofushwa
2 Wakorintho 4:4,
"Ambaye katika hao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikra za wasioamini, wasije wakaona nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu.
 
Kwamba unataka ujiweke level moja na Mungu mtu ambaye anakufa mda wowote ilihali Mungu hafi
Kuna faida gani kuwa haufi na bado mambo yako tukiyapima Kwa mzani yanaonekana ya ovyo Tu.Malaika wanaasi mbinguni ufalme unagawanyika pande mbili alafu unasema mimi nataka kuwa na haki sawa? NI sawa Tu .Yesu NI Mungu na bado alikutwa na Umauti.unasema Mungu hafi how?
 
Vichwa viko higher
Kwasababu unadhani upo Kwa tengenezo la Mungu ili Hali hujui Mungu anapenda nini .utabaki kubusu quran na kuikumbatia biblia bila kujua n nini na kwanini wanadam tupo duniani
 
Kibao wapi. Hizo unazoita contradictions nimeishazipangua.
Biblia haisomwi kama gazeti la Udaku. Isome kwa muktadha na kwa umakini. Na ukisoma kwa mtazamo wa kuipinga ndio kabisa fikra zako zitapofushwa
2 Wakorintho 4:4,
"Ambaye katika hao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikra za wasioamini, wasije wakaona nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu.
Sorry Hizo nilizotoa Hazikuwa Contradiction Zilikuwa ni hoja Makini na Kwa uwezo wako wa Kujibu Hoja Sidhani kama Umejibu hata Moja..
Na kuhuus Hizo Contradiction Huna Uwezo wa Kujibh hata Moja..

Unajibu Maandiko Mtindo wa Kilokole Maandiko Ni matter of Knowledge (Maarifa) na sio Kuunga unga Vijimistari ulivyofanya Na Kurukia Baadhi ya Facts na Kuhisi Unajibu..

Kwanza Kingine Jitahidi ujifunze kupanga Hoja Atleast Weka Majibu kwenye Comment Moja na Yote Yafuatane Haijalishi yatakuwa majibu Dhaifu kiasi gani ila Jitahidi..

Kingine Usitumie AI kujibu majibu yanayohitaji Akili Binafsi
 
Huyo member ni msanii, mimi kuna maswali nimemuuliza hata kujibu ameshindwa. Ameyaacha plain

Mimi biblia naijua . O level nimesoma Maua seminary na nilipata A ya bible knowledge, na A level nilipata B ya divinity pale loyola. Alijaribu kunidanganya kwa kusema kwenye biblia utumwa uliruhusiwa agano la kale tu kabla yesu hajaja , mimi nikamuuliza swali kwa mstari wa agano jipya amegoma kujibu

Anakwepa sana maswali yangu
 
Kijana shetani anachukia Biblia ni kwa sababu hajakiandika wala kutunga sheria yeye na ndiyo maana alikuja na Quran kushindana na maandiko ya Biblia na Torat na matokeo yake mnayaona wenyewe. Mtu firauni na mbakaji eti anaitwa Mtume, wapi na wapi?
 
Huyo member ni msanii, mimi kuna maswali nimemuuliza hata kujibu ameshindwa. Ameyaacha plain

Mimi biblia naijua . O level nimesoma Maua seminary na nilipata A ya bible knowledge, na A level nilipata B ya divinity pale loyola. Alijaribu kunidanganya kwa kusema kwenye biblia utumwa uliruhusiwa agano la kale tu kabla yesu hajaja , mimi nikamuuliza swali kwa mstari wa agano jipya amegoma kujibu

Anakwepa sana maswali yangu
Hawezi Kujibu Maswali anachojibu Ni kile alichofundishwa Na wachungaji wake na Ukienda Further na Nje ya alichofundishwa hawezi kukupa Jibu..

Ni Programed Human Being Kupitia Mafunzo wanayofundishwa walokole huwa hawapewi Njia ya Kutackle mijadala ila Wakiona Wameshindwa basi atajifanya kama Swali halioni..

Nimeona Jinsi alivyokwepa 😀😀 Hilo swali hawezi kulijibu..
Uwezo wake Ni mdogo sana
 
Waefeso 1:1 – "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walio katika Efeso, waaminifu katika Kristo Yesu."

2 Wakorintho 1:1 – "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu, kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko Akaya yote."

Katika mistari hiyo, Paulo anasisitiza kwamba hakujichagua mwenyewe kuwa mtume, bali alichaguliwa na Mungu kwa mapenzi yake. Kwahiyo maneno aliyonena, aliyanena kwa kuongozwa na Mungu.

Fuatilia historia ya Paulo kabla hajawa mtume, ujue jinsi Yesu alivyosema naye kwa sauti na kumchagua kuwa mtume.
Paulo alijichagua,alidai akiwa anaenda damascus,yesu akamtokea njiani huko,huo
 
Kitabu Kizima Kina Contradiction zaidi ya 700
Wewe una PhDs ngapi kati ya hizi:
  1. PhD in Biblical Studies
  2. PhD in Old Testament Studies
  3. PhD in New Testament Studies
  4. PhD in Biblical Theology
  5. PhD in Biblical Hermeneutics
  6. PhD in Septuagint Studies
  7. PhD in Textual Criticism
  8. PhD in Biblical Exegesis
  9. PhD in Biblical Archaeology
  10. PhD in Biblical Languages and Literature
  11. PhD in Torah Studies
  12. PhD in Prophetic Literature
  13. PhD in Wisdom Literature
  14. PhD in Psalms and Poetic Books
  15. PhD in Gospel Studies
  16. PhD in Pauline Studies
  17. PhD in Johannine Literature
  18. PhD in Apocalyptic Literature
  19. PhD in Biblical Ethics
  20. PhD in Intertestamental Studies
  21. PhD in Pentateuch Studies
  22. PhD in Historical Books
  23. PhD in Deuteronomistic History
  24. PhD in Psalms Studies
  25. PhD in Hebrew Prophecy
  26. PhD in Dead Sea Scrolls Studies
  27. PhD in Ancient Near Eastern and Biblical Studies
  28. PhD in Old Testament Eschatology
  29. PhD in Old Testament Law and Ethics
  30. PhD in Old Testament Theology
  31. PhD in Synoptic Gospels Studies
  32. PhD in Parables of Jesus
  33. PhD in Christology of the New Testament
  34. PhD in Acts and Early Church History
  35. PhD in Petrine Literature
  36. PhD in New Testament Textual Criticism
  37. PhD in Pauline Theology
  38. PhD in New Testament Eschatology
  39. PhD in Hebrews and General Epistles
  40. PhD in Revelation Studies
  41. PhD in Biblical Hebrew Studies
  42. PhD in Biblical Greek Studies
  43. PhD in Aramaic and Semitic Languages
  44. PhD in Biblical Exegetical Methods
  45. PhD in Biblical Literary Criticism
  46. PhD in Biblical Translation Studies
  47. PhD in Septuagint and Greek Old Testament
  48. PhD in Intertextuality of the Bible
  49. PhD in Biblical Rhetoric and Persuasion
  50. PhD in Biblical Canon Studies
 
Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.

Je ayubu alimkufuru Mungu wapi , mpaka Mungu akaamua apange mipango na shetani ya kumtesa Ayubu ?
 
Siwezi kusoma phd ya bible. Sababu kufikia A level tu, biblia naijua yoteee.

Biblia ina makosa mengi sana nikikutajia yote. Utajiona boya sana
Endelea tu kujivuna.
 
Back
Top Bottom