Biden ameitaka Israel kukubali kusitisha vita Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."

Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas.

Pendekezo lina awamu tatu. Awamu ya kwanza itadumu kwa muda wa wiki sita, ikiwa ni pamoja na usitishaji kamili wa mapigano, kuondolewa kwa vikosi vya Israel kutoka maeneo yote yenye wakazi wa Gaza, na kuachiliwa kwa wazee, waliojeruhiwa, na mateka wa kike ili kubadilishana na kuachiliwa kwa wafungwa wa Hamas.

Israel imetoa pendekezo, kwamba iwapo hatua ya pili itakamilika, itashuhudia 'kusitishwa kwa kudumu kwa uhasama'.

Baadhi ya watu katika Israeli hawatakubali, na watataka kuendeleza vita kwa muda usiojulikana, lakini tunawahimiza wale wote wanaosimama na Israeli kuunga mkono ramani hii ya njia ya usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Marekani itasaidia kuunda makubaliano ya kidiplomasia ili kuzuia vita kati ya Israel na Hezbollah"

t.me/megatron_ron

======================
BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"After intensive diplomacy carried out by my team, and meetings with foreign diplomats, Israel has offered a new proposal'

A roadmap to an enduring ceasefire and the release of all hostages. This proposal has been given by Qatar to Hamas.

The proposal has three phases. The first phase will last for six weeks, including a complete ceasefire, a withdrawal of Israeli forces from all populated areas of Gaza, and a release of elderly, wounded, and female hostages in exchange for the release of Hamas prisoners.

Israel has offered a proposal, that if the second stage is completed, it would see a 'permanent cessation of hostilities'

Some people in Israel will not agree, and will want to continue the war indefinitely, but we urge all those who stand with Israel to back this roadmap to a permanent ceasefire.

The U.S. will help forge a diplomatic deal to prevent a war between Israel and Hezbollah"

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1796601568390684696?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
⚡️Israeli Army Radio:

Biden's announcement is actually an #Israeli-American plan to end the war even if Netanyahu's office did not say so

Wameamua kutema bungo kiana Israel wakisema wataonekana wamashindwa vita 🤣🤣🤣
 
Wametambuliwa na mataifa ya ulaya na latin America,yeah,wanashinda
Hamas affirms its readiness to deal positively with any proposal that offers a permanent ceasefire, complete withdrawal of Israeli forces from Gaza, reconstruction of the strip, return of displaced and a 'serious' prisoner/hostage exchange - statement — Reuters
 
Rais wa Marekani Biden anadai kuwa Hamas ndiyo inayozuia usitishaji mapigano, akitaka watu duniani kote sasa "wadai Hamas ije mezani."

Ukweli ni kwamba israel ilikataa mapendekezo 11 ya kusitisha mapigano na Hamas ilikubali lile la hivi punde pia.

😂😂😂😂
 
View: https://x.com/analysis_2024/status/1796606994037793141?t=AwEkBjl1nR3yer1hxMSPgA&s=19

Wanamalizwa pale Rafah leo vifaru na magari 34 yame pigwa ona Wanajeshi wa Netanyahu wanavyo enda motoni mapema

🔻🔻 Urgent
Earth-shattering news for Tel Aviv: The largest ambush on a group of tanks, troop carriers, and soldiers from the Special Forces in the eastern Rafah area, and initial reports say 32 soldiers were killed or wounded.

Waliambiwa lakini Rafah siyo pikiniki mnaenda kuuwa watoto wetu lakini na nyie hamrudi salama.
 
Navyona US na Israel wanachotaka ni kurejeshwa mateka tu! Wakifanikiwa vita itaendelea kwa lengo la kuiangamiza Hamas!
1.Biden yuko chini ya pressure ya wananchi wengi wa US wanaotaka afanye juu chini kumaliza vita hiyo vinginevyo atapoteza uchaguzi wa nov.2024
2.Israel imeshindwa kufikia malengo yake na uwezekano wa kupata mateka kwa njia ya vita ni mdogo na haina namna,huku ikishinikizwa kwa maandamano ya wananchi wake,lazima ikubali kwa shingo upande kusitisha vita.
 
mashehe wa masjid traqo hawawezi kuelewa ulichoandika🤣😂😆
 
Navyona US na Israel wanachotaka ni kurejeshwa mateka tu! Wakifanikiwa vita itaendelea kwa lengo la kuiangamiza Hamas!
1.Biden yuko chini ya pressure ya wananchi wengi wa US wanaotaka afanye juu chini kumaliza vita hiyo vinginevyo atapoteza uchaguzi wa nov.2024
2.Israel imeshindwa kufikia malengo yake na uwezekano wa kupata mateka kwa njia ya vita ni mdogo na haina namna,huku ikishinikizwa kwa maandamano ya wananchi wake,lazima ikubali kwa shingo upande kusitisha vita.
Netanyahu anajua kila kitu unatumi nguvu watu wwnafikir ni Uganda kipindi kile cha old stonage
 
Wanakumbi.

BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."

Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas.

Pendekezo lina awamu tatu. Awamu ya kwanza itadumu kwa muda wa wiki sita, ikiwa ni pamoja na usitishaji kamili wa mapigano, kuondolewa kwa vikosi vya Israel kutoka maeneo yote yenye wakazi wa Gaza, na kuachiliwa kwa wazee, waliojeruhiwa, na mateka wa kike ili kubadilishana na kuachiliwa kwa wafungwa wa Hamas.

Israel imetoa pendekezo, kwamba iwapo hatua ya pili itakamilika, itashuhudia 'kusitishwa kwa kudumu kwa uhasama'.

Baadhi ya watu katika Israeli hawatakubali, na watataka kuendeleza vita kwa muda usiojulikana, lakini tunawahimiza wale wote wanaosimama na Israeli kuunga mkono ramani hii ya njia ya usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Marekani itasaidia kuunda makubaliano ya kidiplomasia ili kuzuia vita kati ya Israel na Hezbollah"

t.me/megatron_ron

======================
BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"After intensive diplomacy carried out by my team, and meetings with foreign diplomats, Israel has offered a new proposal'

A roadmap to an enduring ceasefire and the release of all hostages. This proposal has been given by Qatar to Hamas.

The proposal has three phases. The first phase will last for six weeks, including a complete ceasefire, a withdrawal of Israeli forces from all populated areas of Gaza, and a release of elderly, wounded, and female hostages in exchange for the release of Hamas prisoners.

Israel has offered a proposal, that if the second stage is completed, it would see a 'permanent cessation of hostilities'

Some people in Israel will not agree, and will want to continue the war indefinitely, but we urge all those who stand with Israel to back this roadmap to a permanent ceasefire.

The U.S. will help forge a diplomatic deal to prevent a war between Israel and Hezbollah"

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1796601568390684696?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Umeamini hayo maneno? Subili utaona. Israel haondoki Gaza mwaka huu nakuapia huyo mzee anafanya mark time kuvuta vuta mda na porojo ili ifke November chama chake kipate kura za arab-Americans halafu baada ya hapo kichapo kiendelee ikiwa nipamoja na kuikalia Gaza...ukumbuke sasa wamedhibiti mipaka yoteeee na ule mpaka muhimu kabsa kati ya Misri na Rafar
 
View: https://youtu.be/_Su0jl5iT8g?si=zmpkgs-pEQ3ZxdBC

Hamasi kashinda vita masharti yake yote yamekubaliwa, Israel atoe majeshi yake yote Gaza, arahusu vitu kuingia Gaza, awachie matekwa wa ki Palestine, aijenge Gaza hapa ni America na wake .afala wa kiarabu ndio wataijenga Gaza.

Cha msingi Ha.asi masharti yake yamekubal8ka na hakuna hata starting moja la Israel limekubalika zaidi ya hilo la kuexchange matekwa yeye alijidai mwamba atawako boa kiko wapi.
 
Vichekesho.Kulazimisha ushindi wa kimaandishi wakati wanakaribia kufutika.🤣
 
Wametambuliwa na mataifa ya ulaya na latin America,yeah,wanashinda
Kwani wakitambuliwa ndiyo inakuwaje?Watambuliwe au wasitambuliwe,wanatakiwa kuishi na wehu Israeli kwa adabu.Wakiendeleza ujingaujinga wao wataishi kwa taabu sana na kupiga mayowe kila iitwayo leo.
 
Back
Top Bottom