Biden ameitaka Israel kukubali kusitisha vita Gaza

Jidanganye! Angalia Al Jazeera kila siku uone mvua ya mabomu unacheza na Marekani wewe. Ndo utajua private jet ya Ruto nani aliikodi itoke Dubai iende kenya kumchukua Ruto kumpeleka Marekani na imsubili Marekani kwa siku nne imrudishe kenya halafu irudi Dubai.
USA kama anapesa asinge kopa kwa Mchina.

Afu huyo anacho fanikiwa ni sababu ya wale wafalme wa Saudia wangemkatia kudeal na dollars zamani uchumi wake ungeanguka.

We jifurahishe tu na usuper power fake kama mlivyo mkuza Israel eti ni Super power pale middle east
 
Una knowledge kidogo kiasi gani mambo ya finance na credit? Hakuna tajiri asiye daiwa
 
Wanakumbi.

BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."

Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas.

Pendekezo lina awamu tatu. Awamu ya kwanza itadumu kwa muda wa wiki sita, ikiwa ni pamoja na usitishaji kamili wa mapigano, kuondolewa kwa vikosi vya Israel kutoka maeneo yote yenye wakazi wa Gaza, na kuachiliwa kwa wazee, waliojeruhiwa, na mateka wa kike ili kubadilishana na kuachiliwa kwa wafungwa wa Hamas.

Israel imetoa pendekezo, kwamba iwapo hatua ya pili itakamilika, itashuhudia 'kusitishwa kwa kudumu kwa uhasama'.

Baadhi ya watu katika Israeli hawatakubali, na watataka kuendeleza vita kwa muda usiojulikana, lakini tunawahimiza wale wote wanaosimama na Israeli kuunga mkono ramani hii ya njia ya usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Marekani itasaidia kuunda makubaliano ya kidiplomasia ili kuzuia vita kati ya Israel na Hezbollah"

t.me/megatron_ron

======================
BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"After intensive diplomacy carried out by my team, and meetings with foreign diplomats, Israel has offered a new proposal'

A roadmap to an enduring ceasefire and the release of all hostages. This proposal has been given by Qatar to Hamas.

The proposal has three phases. The first phase will last for six weeks, including a complete ceasefire, a withdrawal of Israeli forces from all populated areas of Gaza, and a release of elderly, wounded, and female hostages in exchange for the release of Hamas prisoners.

Israel has offered a proposal, that if the second stage is completed, it would see a 'permanent cessation of hostilities'

Some people in Israel will not agree, and will want to continue the war indefinitely, but we urge all those who stand with Israel to back this roadmap to a permanent ceasefire.

The U.S. will help forge a diplomatic deal to prevent a war between Israel and Hezbollah"

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1796601568390684696?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Majibu ya Netanyahu yanafurahisha sana... The war will not stop hadi wajalana wadedi... hukumu ilishatolewa mbona kitambo kuwa Sinwar lazima adedishwe...

PM Benjamin Netanyahu: Gaza war won't end until Hamas destroyed​

1717250929067.png

Hivi mnadhani Netanyahu yupo Madarakani kwa ajili ya kuwafurahisha nyie wapumbavu... Mshachezea damu ya myahudi imechemka bado sana kupoa... Mnakaa kaa vijiweni mnajidanganya watu wapo kazini endeleeni kujidanganya eti sijui watoto kina mama wanauliwa... mnaambiwa na hamas hii vita sio ya maneno inarecordiwa yote hatusikilizi wapuuzi.. ukicheza Gamble huruhusiwi kuhesabu until the game is done... ndio akili sasa Hamas na nyie kazi kuhesabu tu
 
Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana, upo upande wa mazayuni unapata faida gani? Nyie watu ni hatari sana, nikimkuta mmoja wenu ameshikiliwa na hamas kwa kusapoti kafiri wa kizayuni aise, nitaondoka na kichwa chake.
Wale watz waliouawa kikatili na Hamasi walikuwa ni wa Israeli?!! Na hii dunia kama pasingekuwa na USA, na ISRAELI, tungeishi kwa tabu sana!!
 
Hii dunia bila mazayuni na mmarekani ingelikua sehemu salama na amani.

Kuhusu watanzania waliouawa, hakuna ushahidi hadi leo kama ni hamas wamehusika, na kama ni hamas wamehusika basi ninaamini kabisa hamas walikua sahihi kufanya hivyo if walikua wakishirikiana na makafiri wenzao.
 
Eh tizameni hili lishehe... yaani hadi Video Hamas wamerecord wakimuua kikatiri Joshua Mollel wewe unakuja kuwatetea hadharani nyau wewe.. Mjalana Kafiri ni Allah wenu anayeapa kwa Nyota ziangukazo...
 
Una knowledge kidogo kiasi gani mambo ya finance na credit? Hakuna tajiri asiye daiwa
Mimi nimfanya buashara siku zote we ukiwa unadaiwa unakuwa ni mtu wakulipa faida tu, na usipo lipa ndio utaipata sa we kama unadhani deni ni utajiri basi unajisumbua tu.
 
Wanakumbi.

BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."

Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas.

Pendekezo lina awamu tatu. Awamu ya kwanza itadumu kwa muda wa wiki sita, ikiwa ni pamoja na usitishaji kamili wa mapigano, kuondolewa kwa vikosi vya Israel kutoka maeneo yote yenye wakazi wa Gaza, na kuachiliwa kwa wazee, waliojeruhiwa, na mateka wa kike ili kubadilishana na kuachiliwa kwa wafungwa wa Hamas.

Israel imetoa pendekezo, kwamba iwapo hatua ya pili itakamilika, itashuhudia 'kusitishwa kwa kudumu kwa uhasama'.

Baadhi ya watu katika Israeli hawatakubali, na watataka kuendeleza vita kwa muda usiojulikana, lakini tunawahimiza wale wote wanaosimama na Israeli kuunga mkono ramani hii ya njia ya usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Marekani itasaidia kuunda makubaliano ya kidiplomasia ili kuzuia vita kati ya Israel na Hezbollah"

t.me/megatron_ron

======================
BREAKING:

🇺🇸🇮🇱 Biden:

"After intensive diplomacy carried out by my team, and meetings with foreign diplomats, Israel has offered a new proposal'

A roadmap to an enduring ceasefire and the release of all hostages. This proposal has been given by Qatar to Hamas.

The proposal has three phases. The first phase will last for six weeks, including a complete ceasefire, a withdrawal of Israeli forces from all populated areas of Gaza, and a release of elderly, wounded, and female hostages in exchange for the release of Hamas prisoners.

Israel has offered a proposal, that if the second stage is completed, it would see a 'permanent cessation of hostilities'

Some people in Israel will not agree, and will want to continue the war indefinitely, but we urge all those who stand with Israel to back this roadmap to a permanent ceasefire.

The U.S. will help forge a diplomatic deal to prevent a war between Israel and Hezbollah"

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1796601568390684696?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Endelea kuota
Israel ilisema vita itachukua muda mrefu, sasa endelea kuota
 
Hii dunia bila mazayuni na mmarekani ingelikua sehemu salama na amani.

Kuhusu watanzania waliouawa, hakuna ushahidi hadi leo kama ni hamas wamehusika, na kama ni hamas wamehusika basi ninaamini kabisa hamas walikua sahihi kufanya hivyo if walikua wakishirikiana na makafiri wenzao.
Kumbe napigizana kelele na mtu asiyejua kitu!! Ile video ya yule mtz aliyekamatwa na hamas na kupigwa risasi hadharani,?!! Hiyo dini ni shida wao kwa wao tu kila siku ni kuuana sembuse dini nyingine?!! Bila USA, hii dunia isingekalika kabisa!! Hamas huko imebidi wakubali road map aliyoitoa USA, ya kumaliza vita, ila kiboko ya waisram duniani NETANYAU, amekataa kuwa hadi hamas wateketezwe kabisaaaa!!!
 
Duh bila USA dunia isingekalika ....we jamaa unajua ulichoandika au we ni mwehu
 
U

Una uhakika mzee au unaongea tu. Unajua vita ya Sinai Israel walipoteza askari wangapi au unaharisha tu
Wewe punguani kweli hujui lolote vita ya Sinai ndiyo vita gani? Ebu kwa Faida ya JF elezea hiyo vita ya Sinai, nyie walokole mnadanganyana sana😀

Tufahanishe walikufa askari wangapi.
 
Kumbe napigizana kelele na mtu asiyejua kitu!! Ile video ya yule mtz aliyekamatwa na hamas na kupigwa risasi hadharani,?!! Hiyo dini ni shida wao kwa wao tu kila siku ni kuuana sembuse dini nyingine?!! Bila USA, hii dunia isingekalika kabisa!! Hamas huko imebidi wakubali road map aliyoitoa USA, ya kumaliza vita, ila kiboko ya waisram duniani NETANYAU, amekataa kuwa hadi hamas wateketezwe kabisaaaa!!!
Mnamezeshwa propanganda sababu nyie ni wajinga wa mwisho, unajua Baba yake Joshua alienda mpaka Israel na kuuliza mwanae alipo yule kwenye video siyo mwangu mpaka leo hawajapewa jibu wewe Yahudi jeusi la Tukuyu pofu linakutoka.
 
Majibu ya Netanyahu yanafurahisha sana... The war will not stop hadi wajalana wadedi... hukumu ilishatolewa mbona kitambo kuwa Sinwar lazima adedishwe...

PM Benjamin Netanyahu: Gaza war won't end until Hamas destroyed​

View attachment 3005844

Hivi mnadhani Netanyahu yupo Madarakani kwa ajili ya kuwafurahisha nyie wapumbavu... Mshachezea damu ya myahudi imechemka bado sana kupoa... Mnakaa kaa vijiweni mnajidanganya watu wapo kazini endeleeni kujidanganya eti sijui watoto kina mama wanauliwa... mnaambiwa na hamas hii vita sio ya maneno inarecordiwa yote hatusikilizi wapuuzi.. ukicheza Gamble huruhusiwi kuhesabu until the game is done... ndio akili sasa Hamas na nyie kazi kuhesabu tu

View: https://x.com/suppressednws/status/1796941665103450515?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mnamezeshwa propanganda sababu nyie ni wajinga wa mwisho, unajua Baba yake Joshua alienda mpaka Israel na kuuliza mwanae alipo yule kwenye video siyo mwangu mpaka leo hawajapewa jibu wewe Yahudi jeusi la Tukuyu pofu linakutoka.
Ila ujinga wangu hauwazidi hao wavaa vipedo, wanaoanzisha vita, halafu badaye wategemee huruma!! Na ndio maana zamu hii dunia nzima imewaacha kwanza wachapike!! Toka huo mzozo umeanza hii ya zamu hii ni funga kazi, mi nilitaka iendelee kama miezi sita tena mbele.
 
Una umri gani? Vita vya Palestina na Israel umevijulia JF ndiyo maana nakuuita punguani Palestina ndiyo kaanzosha vita na Israel? Jinga la kiwango cha mwisho.

Sasa wewe unamcheka mvaa vipendo wakati wewe unavaa msalaba wa mbao kilo 2 kifuani wa nini?
 
Back
Top Bottom