Biden ameitaka Israel kukubali kusitisha vita Gaza

Kiko wapi Biden anawasadia ndugu zake wasipate aibu anawaita Hamas kwenye mazungumzo,
😀😀😀 eti Hamas ndiyo hawataki kusimamisha vita

View: https://x.com/suppressednws/status/1796647975105474743?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Naona unaongea kwenye keyboard huku ukiwa kipofu wa macho na akili, huoni wala hujui Gaza ilivyokuwa magofu milele na milele, hujui hata nukta jinsi Gaza imeteketezwa na unabakia kusema Hamas wanawapiga Israel, hujui kitu wewe wa kupuuzwa kabisa
 
⚡️Israeli Army Radio:

Biden's announcement is actually an #Israeli-American plan to end the war even if Netanyahu's office did not say so

Wameamua kutema bungo kiana Israel wakisema wataonekana wamashindwa vita 🤣🤣🤣
Ile dini imewafanya watu wakawa vilaza kabisa aisee
 
Daaaa!!! Ila wamechapika jamani!! Juzi Hamasi wamesema wako tayari kukubali matakwa yote ya israel ila wasitishe kwanza vita. Naimani sasa wapalestine wamepata funzo kubwa sana, japo ni wabishi ila zamu hii....
 
Jidanganye! Angalia Al Jazeera kila siku uone mvua ya mabomu unacheza na Marekani wewe. Ndo utajua private jet ya Ruto nani aliikodi itoke Dubai iende kenya kumchukua Ruto kumpeleka Marekani na imsubili Marekani kwa siku nne imrudishe kenya halafu irudi Dubai.
 
Daaaa!!! Ila wamechapika jamani!! Juzi Hamasi wamesema wako tayari kukubali matakwa yote ya israel ila wasitishe kwanza vita. Naimani sasa wapalestine wamepata funzo kubwa sana, japo ni wabishi ila zamu hii....
Wewe hata ufahamu lolote Hamas wamesema wazi Isarel wakikata vita iishe wondoe majeshi yao yote Gaza nani hapo kakubali?

Toka Taifa la Israel liundwe hawajawahi kupoteza wanajeshi kama kipindi hiki.

Palestina toka 1978 wanauliwa na Israel wewe shabiki mandazi hujui lolote.

View: https://x.com/potus/status/1796640301689311717?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Daaaa!!! Ila wamechapika jamani!! Juzi Hamasi wamesema wako tayari kukubali matakwa yote ya israel ila wasitishe kwanza vita. Naimani sasa wapalestine wamepata funzo kubwa sana, japo ni wabishi ila zamu hii....
Wewe hata ufahamu lolote Hamas wamesema wazi Isarel wakikata vita iishe wondoe majeshi yao yote Gaza nani hapo kakubali?

Toka Taifa la Israel liundwe hawajawahi kupoteza wanajeshi kama kipindi hiki.

Palestina toka 1978 wanauliwa na Israel wewe shabiki mandazi hujui lolote.

View: https://x.com/potus/status/1796640301689311717?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Naona unaongea kwenye keyboard huku ukiwa kipofu wa macho na akili, huoni wala hujui Gaza ilivyokuwa magofu milele na milele, hujui hata nukta jinsi Gaza imeteketezwa na unabakia kusema Hamas wanawapiga Israel, hujui kitu wewe wa kupuuzwa kabisa
Wewe punguani kweli kama Gaza magofu unataka Hamas wafanyaje? Nchi zaidi ya 10 ikiwemo Qatar, Saudia, Kuwait wote wamejitolea kuijenga Gaza kwa hiyo unachoongea ni uharo hauna ujalojua.
 
Unaongea uharo uzi unahusu Gaza unaleta habari za Ruto.

Hao Marekani unawaobudu waambie wawasaidie Israel kupata Mateka wao.

Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni leo mwezi wa 9 hawajui mateka walipo.
 
Unaongea uharo uzi unahusu Gaza unaleta habari za Ruto.

Hao Marekani unawaobudu waambie wawasaidie Israel kupata Mateka wao.

Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni leo mwezi wa 9 hawajui mateka walipo.
I thought btn the lines ungepata content ya comment yangu...umeishia kuona jina Ruto tu... hahaha. M16,mosad na CIA wote hawana akili za kutafuta hao mateka ila wewe na hamas yako na elimu yenu ya madrasa ndo mna akili za kuficha mateka. Au wew ukiona IDF wanabomoa magorofa vile unazani wanatafuta mateka 🤣 🤣 🤣 🤣. Subili mpaka ifike mwisho wa mwaka uangalie Gaza itakuwaje na itakuwa chini ya utawala gani
 
Biden umeishiwa silaha za msaada kwa mashoga wnzio!!!em kipigwe kwanza at least tufike october hivi ili tujue nani ni nani
 
Wewe punguani kweli kama Gaza magofu unataka Hamas wafanyaje? Nchi zaidi ya 10 ikiwemo Qatar, Saudia, Kuwait wote wamejitolea kuijenga Gaza kwa hiyo unachoongea ni uharo hauna ujalojua.

Akili za madrassa zero brain kabisa, you are such an arrogant dead minded human being walking, shithole, tutawapiga hadi mnyooke, ujinga ni gharama sana, nyoko sana, hivi hata chanzo cha vita vya Israel kuwapiga Hamas huko Gaza unajua wewe wildebeest?

Nani alianzisha vita? Nani alivamia na kuua na kuteka raia wa Israel na mataifa mbalimbali wakiwa katika sherehe? Hivi ww umebeba kibuyu unafugia nywele tu, ulijua vita vilianza tu without any reason? Eti Hamas wafanyaje? Hivi akili huna wewe swine, Hamas ndio walianzisha vita hivi, hivyo hakuna kuomba visimame, hadi waishe kabisa na kuteketezwa na wewe kama ni supporter wao nenda kajiunge nao nyoko sana, ni kipigwa hadi wapotee kabisa, pumbaf
 
Unaanzisha mada halafu eti wewe ndio mchangiaji kisha unaalika baadhi ya maimamu wa masjid kadhaa wakusaidie umbeya.

What a shame for peddling lies.
 
Huu uharo nani ana muda wa kusoma.
 
Unaanzisha mada halafu eti wewe ndio mchangiaji kisha unaalika baadhi ya maimamu wa masjid kadhaa wakusaidie umbeya.

What a shame for peddling lies.
Mbona wewe mlokole shoga umekuja nani kakualika😂
 
Vichekesho.Kulazimisha ushindi wa kimaandishi wakati wanakaribia kufutika.🤣
Tatizo lenu nyie mnafikiria ushindi kupiga wale wanyonge waso kuwa na hatia, mtabaki na huo ujinga maisha yenu kuwauwa watoto, wanawake na wazee na vijana ambao sio makamanda wa Hamasi ni ushindi wa kijinga tu.

Ushindi unaweka target naifuta Hamasi na Itawala Gaza kwa nguvu, na okoa matekwa huo ndio ushindi aliutaka Netanyahuhakupata ushindi huo.

Ama sijui na wafungia chakula, maji na vunja hospita zao shule zao na majumba yao huo ushindi ni wavichaa tu 😄
 
Sasa hizo zina kuwa ni akili gani? Kwani sio mala ya kwanza kujenga, wanajenga sawa, baada ya muda tena wana lianzisha, zina bomolewa tena!!! Ila zamu hii hapana!! Na Netanyau amesema haachi vita hadi lengo lake litimie!!
Wewe punguani kweli kama Gaza magofu unataka Hamas wafanyaje? Nchi zaidi ya 10 ikiwemo Qatar, Saudia, Kuwait wote wamejitolea kuijenga Gaza kwa hiyo unachoongea ni uharo hauna ujalojua.
 
Sasa hizo zina kuwa ni akili gani? Kwani sio mala ya kwanza kujenga, wanajenga sawa, baada ya muda tena wana lianzisha, zina bomolewa tena!!! Ila zamu hii hapana!! Na Netanyau amesema haachi vita hadi lengo lake litimie!!

Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana, upo upande wa mazayuni unapata faida gani? Nyie watu ni hatari sana, nikimkuta mmoja wenu ameshikiliwa na hamas kwa kusapoti kafiri wa kizayuni aise, nitaondoka na kichwa chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…