Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?Burundi, Rwanda, Uganda na Tanzania nje, aibu sn na hongera kwa wakenya
siyo kweli inawezekana anatuona kidemokrasia kama anavyoiona Korea ya kaskaziniTanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,
Unataka atualike tujafanye nini?
Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
heshima ya kidemokrasia Kenya wameijenga ndiyo maana wanaheshimika.....au pengine waalikwa wote ni symphasizers wa ushogaUnatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?
Marekani ni wasaka maslahi..usitegemee hao waje kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio ujione binadamu.
Jenga heshima uheshimiwe.
Ngoja tusubiri Prof wa Jalalani atasemaje.......!!Mngealikwa mngepanua midomo hapa kama bakuli mkijidai USA inawatambua kama wanademokrasia.
Huwa wanamalizana kwenye vikao Na huwa yanaongelewaIla pesa wakitoa sisikiagi kauli kama hizi!
Inawezekana hujui kusomaMbona UK HAIPO
Pamoja na heshima yako umaskini umepungua? lazima uwe na mahusiano mazuri na matajiri, aibu kubwa sn EA Kenya pekee wameitwaUnatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?
Marekani ni wasaka maslahi..usitegemee hao waje kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio ujione binadamu.
Jenga heshima uheshimiwe.
Umemaliza mjadala,na umesema kweli tupuTanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,
Unataka atualike tujafanye nini?
Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Hiyo ndio maana ya tuko kwenye right truck, hatuna tofauti na mbuni anayezika kichwa mchangani akitumai kuwa yupo mafichoni, a. k. a chimbo. 🤔.Summit for Democracy: Invited Participants
Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia
![]()
Participant List - The Summit for Democracy - United States Department of State
Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...www.state.gov
Bila shaka rais wao akirudi atarudi na rundo na mihela ya kuwagawia wanachi wake na kuondoka na umasikini.Burundi, Rwanda, Uganda na Tanzania nje, aibu sn na hongera kwa wakenya
Kwamba tunazizidi nchi zote zilizopo hapo juu?.Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,
Unataka atualike tujafanye nini?
Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Heeee!Summit for Democracy: Invited Participants
Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia
![]()
Participant List - The Summit for Democracy - United States Department of State
Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...www.state.gov
Una hasiraaaa!Kwa taarifa mpya soma IDEA Report; ya state of democracy in US ya mwaka huu. US imekuwa listed as 'Backsliding' democracy.
Hiyo ni ripoti ya wazungu wenyewe. Sasa hawana jipya kutufundisha kuhusu democracy. Tujadili mambo ya nchi yetu bila kufikiria wazungu.
Inaweza kuwa haimo kwenye hivyo vikao vya porojo za demokrasia ila iko kwenye mambo ya msingi..Summit for Democracy: Invited Participants
Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia
![]()
Participant List - The Summit for Democracy - United States Department of State
Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...www.state.gov
Ila cha ajabu ilioje tulitaka sanaaa huyu mama aonane na Biden kipindi cha mkutano wa UN hadi yule Mulamula akatangulia mwezi mzima na bado alitoka kapa hata kupiga nae picha tu (ujiko) jamaa alikataa 🤣 🤣 🤣Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,
Unataka atualike tujafanye nini?
Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu