Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

tony blair arudishe pesa zetu maana kazi ya kutusafisha kimataifa imemshinda(jokes)
 
Burundi, Rwanda, Uganda na Tanzania nje, aibu sn na hongera kwa wakenya
Unatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?
Marekani ni wasaka maslahi..usitegemee hao waje kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio ujione binadamu.

Jenga heshima uheshimiwe.
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
siyo kweli inawezekana anatuona kidemokrasia kama anavyoiona Korea ya kaskazini
 
Unatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?
Marekani ni wasaka maslahi..usitegemee hao waje kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio ujione binadamu.

Jenga heshima uheshimiwe.
heshima ya kidemokrasia Kenya wameijenga ndiyo maana wanaheshimika.....au pengine waalikwa wote ni symphasizers wa ushoga
 
Unatoa Hongera kwa Kenya, kwani kuna lipi la ziada?
Marekani ni wasaka maslahi..usitegemee hao waje kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio ujione binadamu.

Jenga heshima uheshimiwe.
Pamoja na heshima yako umaskini umepungua? lazima uwe na mahusiano mazuri na matajiri, aibu kubwa sn EA Kenya pekee wameitwa
 
Summit for Democracy: Invited Participants

Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia


Hiyo ndio maana ya tuko kwenye right truck, hatuna tofauti na mbuni anayezika kichwa mchangani akitumai kuwa yupo mafichoni, a. k. a chimbo. 🤔.
 
Burundi, Rwanda, Uganda na Tanzania nje, aibu sn na hongera kwa wakenya
Bila shaka rais wao akirudi atarudi na rundo na mihela ya kuwagawia wanachi wake na kuondoka na umasikini.

Tutegemee kenya iwe kama usa kuanzia siku ha kwanza ya huo mkutano
 
The virtual Summit from December 9-10, 2021, most of the programming will be livestreamed on Further Information - The Summit for Democracy - United States Department of State
The Summit focuses on three themes:  strengthening democracy and countering authoritarianism, fighting corruption, and promoting respect for human rights.

Toka Maktaba:

 
Alikuwa karibu na rais Samia Glasgow. Labda alimnong'oneza Rais Samia na kumualika White House.
Desemba 9 na 10.
 
Summit for Democracy: Invited Participants

Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia


Heeee!
 
Kwa taarifa mpya soma IDEA Report; ya state of democracy in US ya mwaka huu. US imekuwa listed as 'Backsliding' democracy.

Hiyo ni ripoti ya wazungu wenyewe. Sasa hawana jipya kutufundisha kuhusu democracy. Tujadili mambo ya nchi yetu bila kufikiria wazungu.
Una hasiraaaa!
 
Summit for Democracy: Invited Participants

Albania
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Armenia
Australia
Austria
Bahamas
Barbados
Belgium
Belize
Botswana
Brazil
Bulgaria
Cabo Verde
Canada
Chile
Colombia
Costa Rica
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Democratic Republic of Congo
Denmark
Dominica
Dominican Republic
Ecuador
Estonia
Fiji
Finland
France
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Iceland
India
Indonesia
Iraq
Ireland
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Kiribati
Kosovo
Latvia
Liberia
Lithuania
Luxembourg
Malawi
Malaysia
Maldives
Malta
Marshall Islands
Mauritius
Mexico
Micronesia
Moldova
Mongolia
Montenegro
Namibia
Nauru
Nepal
Netherlands
New Zealand
Niger
Nigeria
North Macedonia
Norway
Pakistan
Palau
Panama
Papua New Guinea
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Sao Tome and Principe
Senegal
Serbia
Seychelles
Slovakia
Slovenia
Solomon Islands
South Africa
South Korea
Spain
Suriname
Sweden
Switzerland
Taiwan
Timor-Leste
Tonga
Trinidad and Tobago
Tuvalu
Ukraine
United Kingdom
Uruguay
Vanuatu
Zambia


Inaweza kuwa haimo kwenye hivyo vikao vya porojo za demokrasia ila iko kwenye mambo ya msingi..

Muulize Rais wa Zambia baada ya kualikwa Ikulu ya White house ilifitiwa mzigo wake wa madeni?

Sisi tunaalikwa kwenye mambo ya msingi na yenye matokea kama hivi👇👇

Screenshot_20211122-155332.png


Screenshot_20211113-070837.png


Screenshot_20211112-134152.png


Screenshot_20211113-071141.png
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Ila cha ajabu ilioje tulitaka sanaaa huyu mama aonane na Biden kipindi cha mkutano wa UN hadi yule Mulamula akatangulia mwezi mzima na bado alitoka kapa hata kupiga nae picha tu (ujiko) jamaa alikataa 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom