Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024

Tishio la vita vya wazi kati ya Iran na Israel huku Marekani kuihusisha Marekani kunaliweka eneo la Mashariki ya Kati katika hali ya wasiwasi, hali inayosababisha Mataifa ya Kiarabu na Mamlaka za Kimataifa kama UN kuingilia kati

Iran imeripotiwa kuingia katika Mgogoro na Israel ikiituhumu kushambulia Ubalozi wake huko Damascus na kuua Watu 7 akiwemo Jenerali wa Jeshi la Iran

============

President Joe Biden warned Prime Minister Benjamin Netanyahu the U.S. will not take part in a counter-offensive against Iran, an option Netanyahu's war cabinet favors after a mass drone and missile attack on Israeli territory, according to officials.

The threat of open warfare erupting between the arch Middle East foes and dragging in the United States put the region on edge, triggering calls for restraint from global powers and Arab nations.

"The Middle East is on the brink. The people of the region are confronting a real danger of a devastating full-scale conflict. Now is the time to defuse and de-escalate," United Nations Secretary-General Antonio Guterres told a Security Council meeting called on Sunday in response to the strikes.

Deputy U.S. Ambassador to the U.N. Robert Wood called on the council to unequivocally condemn Iran's attack.

"Let me be clear: if Iran or its proxies take actions against the United States or further action against Israel, Iran will be held responsible," he said.

Still, Biden told Netanyahu the U.S. would not participate in any Israeli counter-offensive against Iran over the attack, a White House official said.

U.S. State Antony Blinken and Defense Secretary Lloyd Austin also spoke to counterparts including in Saudi Arabia, Turkey, Egypt and Jordan, stressing the need to avoid escalation, the importance of a coordinated diplomatic response, and emphasizing the U.S. will continue to support Israel's defense.

Source: Reutters
 
Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran.
 
Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran
Israel amepewa fursa na Iran achague kusambaratishwa kwa taifa lake au atulie tuli maana Iran shida yao ilikuwa ni kulipiza kisasi tu, weye huoni jana kikao cha Israel kujadili kuhusu Iran waliondoka hawakufikia suluhisho? ilikuwa ni khofu na woga umewatanda hawajui wafanye nini Iran anatisha sana.
 
Nakuona Mnazareti wa Mbagala unatoa hakikisho kana kwamba upo kwenye serikali ya Jerusalem na Washington.

Mahaba niue
 
Sidhani kama watapigana vita bali yatapita
Kama ni kuviziana na kuuwa mmoja mmoja labda
America anajua akilianzisha kuna Mujahideen watapiga Washington au kulipua miji na sehemu zao kama ubalozi nk

Vita ina hasara kubwa sana
Israel alisema itachukua masiku kuwamaliza Hamas na leo inakaribia mwaka bado wanatumia resources na hela nyingi na tensions zisizoisha kwao
Russia mpaka leo anahangaika na Ukraine

Kwa wale wasioijua vita ni kuwa inashusha uchumi haraka sana
Kuweka majeshi hapo uarabuni tu kila siku wanajeshi na patrol na vifaa vyao inakula mpaka $3m kwa siku
 
Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran.
Acha kuandika uharo,,tusubirie nini???
 
Israel amepewa fursa na Iran achague kusambaratishwa kwa taifa lake au atulie tuli maana Iran shida yao ilikuwa ni kulipiza kisasi tu, weye huoni jana kikao cha Israel kujadili kuhusu Iran waliondoka hawakufikia suluhisho? ilikuwa ni khofu na woga umewatanda hawajui wafanye nini Iran anatisha sana.
Sasa iran anatisha nini makombora yenyewe yamepanguliwa 99%
 
Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran.
Wakati wa propaganda ulikwisha iran yuko vitani pamoja na vikwazo miaka 70 bado anamuendelezo wake wa kutengeneza silaha nzito alichokifanya juzi ni majaribio ya vile vifaa baada ya kupata mafanikio sasa ndio anakwenda kufuta taifa linaloitwa israel warudi utumwani!
 
Sasa iran anatisha nini makombora yenyewe yamepanguliwa 99%
Iyo kupanguliwa ni kauli ya Israel ambao hawajawahi kuwa wakweli kwenye taarifa zao tokea Hamas walipowatia adabu wamekwama kueleza dunia ukweli madhara wanayopata mpaka juzi wametishia kuifungia Aljazeera kutoa taarifa zao kule Israel., Kamanda wa Iran amesema mafanikio ya walichokikusudia ni 100% na ameitahadharisha tena na tena Israel kama watajibu wataendelea kupata kitu kizito zaidi
 
Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran.
Hizo stori zishakua zilipendwa .ombeni India wawasaidie maana naona wana shobo sana israeli.
 
Israel amepewa fursa na Iran achague kusambaratishwa kwa taifa lake au atulie tuli maana Iran shida yao ilikuwa ni kulipiza kisasi tu, weye huoni jana kikao cha Israel kujadili kuhusu Iran waliondoka hawakufikia suluhisho? ilikuwa ni khofu na woga umewatanda hawajui wafanye nini Iran anatisha sana.
😁😁😁ukiona unampa simba majani anakula,ujue ana hesabu za mbele,unenepe kwanza.
 
Israel kabal ya shambulio la Iran juzi alikuwa anapiga kelele sana kwamba yeye ashaweka mitambo yake sawa na jeshi lake liko tayari kwa chochote kitakachotokea kutoka Iran, vipi unakuja hapa na kubana pua eti simba anakucha ule majani sijui unenepe kwanza
 
Back
Top Bottom