Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Ushahidi wa hayo madhara yako wapi? Tatizo lenu nyie wenyewe wafia dini mna silaha ya ubishi kila kitu mnalazimisha kwa uwongo sasahivi mnakimbilia neno propaganda basi lete taarifa za aljazeera tuzione za kweliIyo kupanguliwa ni kauli ya Israel ambao hawajawahi kuwa wakweli kwenye taarifa zao tokea Hamas walipowatia adabu wamekwama kueleza dunia ukweli madhara wanayopata mpaka juzi wametishia kuifungia Aljazeera kutoa taarifa zao kule Israel., Kamanda wa Iran amesema mafanikio ya walichokikusudia ni 100% na ameitahadharisha tena na tena Israel kama watajibu wataendelea kupata kitu kizito zaidi