Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Ushahidi wa hayo madhara yako wapi? Tatizo lenu nyie wenyewe wafia dini mna silaha ya ubishi kila kitu mnalazimisha kwa uwongo sasahivi mnakimbilia neno propaganda basi lete taarifa za aljazeera tuzione za kweliIyo kupanguliwa ni kauli ya Israel ambao hawajawahi kuwa wakweli kwenye taarifa zao tokea Hamas walipowatia adabu wamekwama kueleza dunia ukweli madhara wanayopata mpaka juzi wametishia kuifungia Aljazeera kutoa taarifa zao kule Israel., Kamanda wa Iran amesema mafanikio ya walichokikusudia ni 100% na ameitahadharisha tena na tena Israel kama watajibu wataendelea kupata kitu kizito zaidi
Kwani jana iran mbona alishirikiana na washirika wake kuishambulia israel pande zote kama hezbollah, houth, hamas, makundi ya kigaidi ya iraq huoni nae iran hakuwa pekee yakealiepangua ni marekani uingeleza na shoga zake wengine, right angeachwa peke yake ahaha angepoteana
Kwani una taarifa gani na madhara ya hizo drone elfu 2 zilizopigwa🤣🤣,zimeua watu wangapi???Israel kabal ya shambulio la Iran juzi alikuwa anapiga kelele sana kwamba yeye ashaweka mitambo yake sawa na jeshi lake liko tayari kwa chochote kitakachotokea kutoka Iran, vipi unakuja hapa na kubana pua eti simba anakucha ule majani sijui unenepe kwanza
Anazo sasa,labda amsubiri sheikh mwaipopo apost youtube🤣🤣Ushahidi wa hayo madhara yako wapi? Tatizo lenu nyie wenyewe wafia dini mna silaha ya ubishi kila kitu mnalazimisha kwa uwongo sasahivi mnakimbilia neno propaganda basi lete taarifa za aljazeera tuzione za kweli
Israel ilipiga bomu ubalozi wa Iran ikawaua Wairan saba akiwemo Jenerali. Iran imerusha makombora zaidi ya 300, nenda Aljazeera hao wakweli wako tuletee taarifa hayo makombora na drones za Iran vimeleta madhara gani.Iyo kupanguliwa ni kauli ya Israel ambao hawajawahi kuwa wakweli kwenye taarifa zao tokea Hamas walipowatia adabu wamekwama kueleza dunia ukweli madhara wanayopata mpaka juzi wametishia kuifungia Aljazeera kutoa taarifa zao kule Israel., Kamanda wa Iran amesema mafanikio ya walichokikusudia ni 100% na ameitahadharisha tena na tena Israel kama watajibu wataendelea kupata kitu kizito zaidi
Hukatazwi kuota dogo utatuamsha time ndoto imeisha 😄Acha uongo, kipigo kwa Iran kipo pale pale na US and allies of Israel wameshajipanga, kama huamini subiri uone, US = Israel = one nation na Jews ndio wanaendesha US na dunia hii, Jews will never let it go for free, kisasi kikubwa mno kinakuja, na ni cha heavy military strike na US ndio ataongoza kipigo, vifaa vya kijeshi vingi vya US vimesogezwa Middle East to destroy Iran.
Adabu iwepo, ujue mie baba yako wa kambo muulize mama, unaniita dogo, what a waste..!! Subiria few days ahead ndio utajua kwanini Myahudi anaongoza hii dunia, Iran itapotea kabisa kuliko Iraq or Aghanistan or LibyaHukatazwi kuota dogo utatuamsha time ndoto imeisha 😄
We mama yako c alikuzaa we hata hajui nani kampa mimba, afu unataka kuleta ujinga hapa.Adabu iwepo, ujue mie baba yako wa kambo muulize mama, unaniita dogo, what a waste..!! Subiria few days ahead ndio utajua kwanini Myahudi anaongoza hii dunia, Iran itapotea kabisa kuliko Iraq or Aghanistan or Libya
Wewe umezoea ukisikia nchi fulani imeshambuliwa uanze kuhesabu idadi ya watu waliokufa, narudia Iran haikukusudia kuuwa watu walilenga kwenye base ya kijeshi ya IDF na bbc walisema Israel ilikiri kujeruhiwa kwa watu 14 ingawa hawakukusudiwa watu.Israel ilipiga bomu ubalozi wa Iran ikawaua Wairan saba akiwemo Jenerali. Iran imerusha makombora zaidi ya 300, nenda Aljazeera hao wakweli wako tuletee taarifa hayo makombora na drones za Iran vimeleta madhara gani.
Makombora 300 hata mtu mmoja hafi. Sasa si bora wangerusha mawe, na penyewe vibaka wakirusha mawe mia tatu lazima wafe watu wawili watatu hivi.
Huna akili hiyo asilimia moja ya makombora iliyo penya iwapo Iran ingeielekeza kwenye makazi ya raia na mahospitalini yangeshindwa kuuwa ?Israel ilipiga bomu ubalozi wa Iran ikawaua Wairan saba akiwemo Jenerali. Iran imerusha makombora zaidi ya 300, nenda Aljazeera hao wakweli wako tuletee taarifa hayo makombora na drones za Iran vimeleta madhara gani.
Makombora 300 hata mtu mmoja hafi. Sasa si bora wangerusha mawe, na penyewe vibaka wakirusha mawe mia tatu lazima wafe watu wawili watatu hivi.
Majenerali wenu wameuwawa. Mmepiga matofali sasa hivi unalialia etu wangetaka kupiga makazi na mahospitalini, wangewezaje wakati makombora yenyewe ni kama mafataki ya mwaka mpya. Hata kuua mbwa mmoja yameshindwa😂Huna akili hiyo asilimia moja ya makombora iliyo penya iwapo Iran ingeielekeza kwenye makazi ya raia na mahospitalini yangeshindwa kuuwa ?
Au unadhani jeshi la Iran ni sawa na hilo jeshi lenu la mashoga ambalo huwa linauwa watu hovyo hovyo kama vichaa?
Alafu kipindi makombora yanarushwa akina Netanyau siwalikuwa wamejificha kwenye mashimo kama mapanya buku?