Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Yamemkuta yanayo mstahili Natenyahu:

IMG_20240410_093716.jpg

2. Yanaweza kuwapo makavu kuliko haya?

IMG_20240410_091952.jpg

3. Kwamba:

IMG_20240409_184806.jpg

4. Haya mengine ndiyo zile longo longo zisizotakikana:

IMG_20240410_093146.jpg

5. Kama Beberu ndiyo huyu, kumbe kabaki na nini Natenyahu?
 
Wachokozi walichokoza tokea 1947 huko. Wajomba ndiyo hao wanaishia, wamebaki wajomba uchwara kina Moisemusajiografii, MK254 na wenzao pande za Buza huko.

Muingereza na mmarekani ndio aliowapeleka hao Israel hapo Palestina hiyo 1947.
Huyo Biden ni mnafiki tuu na kama anakupumbuza na kupumbaza wajinga
 
Muingereza na mmarekani ndio aliowapeleka hao Israel hapo Palestina hiyo 1947.
Huyo Biden ni mnafiki tuu na kama anakupumbuza na kupumbaza wajinga

1. Amri ya kwanza kusimama vita:

Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

Majibu: Bandari ya Ashdod ikafunguka, na aliyeapa kususa mazungumzo akarejea mezani.

2. Amri ya pili Hii hapa, "Toka Gaza!"

Majibu: tayari anatoka Gaza akidai kurudi si mbali?!

3. Halafu misukule ya Buza inasema pumbaza wajinga?! Basi wajinga hao ni ninyi!
 
1. Amri ya kwanza kusimama vita:

Majibu: Bandari ya Ashdod ikafunguka, na aliyeapa kususa mazungumzo akarejea mezani.

2. Amri ya pili Hii hapa, "Toka Gaza!"

Majibu: tayari anatoka Gaza akidai kurudi si mbali?!

3. Halafu misukule ya Buza inasema pumbaza wajinga?! Basi wajinga hao ni ninyi!

Marekani na Uingereza ndio wanaoipiga Gaza kipi hauelewi Mkuu.
 
1. Amri ya kwanza kusimama vita:

Majibu: Bandari ya Ashdod ikafunguka, na aliyeapa kususa mazungumzo akarejea mezani.

2. Amri ya pili Hii hapa, "Toka Gaza!"

Majibu: tayari anatoka Gaza akidai kurudi si mbali?!

3. Halafu misukule ya Buza inasema pumbaza wajinga?! Basi wajinga hao ni ninyi!
Jirani kwema 🤣🤣🤣🤣🤣
Umesema Ntenyau ASIMAMISHE NINI 🤣🤣🤣🤣🤣????
 
Jirani.........ushaswali kwanza 🤣🤣🤣🤣
Au mpaka uende Gaza

1. Kama wewe mliangaziwa bila kupepesa macho humu, nikadhani mtaelewa, kumbe hadi damu masikioni?

"Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko"

2. Kama nakusoma vilivyo hapa:

e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.

3. Ni umbumbu uliopitiliza kudhani kuunga mkono jambo basi unafungamana nalo au kupinga jambo ndiyo huafungamanishwi nalo.

4. Mtaelimika lini Buza buza, madongo kuinama huko?

5. Kwamba kuna u kagame kwenye id yako unadhani ni sahihi kufungamanishwa nao hao wanaotuulia ndugu zetu DRC?

Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom