- Thread starter
- #21
Waislamu bhana 🤣🤣🤣View attachment 2959378
1. Hii inahusika wapi kwenye mada? Au hii na Palestina wapi na wapi?
2. Usichanganye madesa ndugu Kagame, ujue tuna machungu Goma sisi, lakini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu bhana 🤣🤣🤣View attachment 2959378
Waliwapeleka Israel hapo, kabla waliishi wapi?Muingereza na mmarekani ndio aliowapeleka hao Israel hapo Palestina hiyo 1947.
Huyo Biden ni mnafiki tuu na kama anakupumbuza na kupumbaza wajinga
Supportive documents plsMarekani na Uingereza ndio wanaoipiga Gaza kipi hauelewi Mkuu.
NETANYAHU TO NEW IDF RECRUITS:
We will complete the elimination of Hxmas battalions, including in Rafah. There is no force in the world that can stop us. Many forces are trying to do so, but it won’t help, because this enemy, after what it has done, won’t do it anymore.
They also won’t exist anymore. We are committed to doing this, and each and every one of you now, in your enlistment, will contribute in this way and in other ways to achieving the goal. It must be done. After doing such a thing to our country - they won’t do it anymore.
We have three goals: One, to bring back the abductees. All of them, and not just them, everyone together. We will bring them all back.
The second goal is to eliminate Hxmas.
The third goal is to ensure that Gaza no longer poses a threat to Israel.
And there is a fourth goal - what exists in Hxmas is part of Iran’s axis of evil aimed at destroying us. And when we defeat Hxmas, it’s not just defeating Hamas - it’s defeating the axis.
Everyone in the Middle East, and beyond, is sitting in the stands and watching who will win on this field, Israel or Iran and its proxies. You already know who will win. Good luck to you all.”
There is no force in the world that can stop us. Many forces are trying to do so, but it won’t help.....Hizi ndiyo zile longo longo asizozitaka Beberu:
Joe Biden (short and clear):
View attachment 2959408
Natenyahu (loudly and clearly):
View attachment 2959410
Hauko sawa ujue🤣🤣🤣Akileta uniite niko pale 👉 namsubiri paroko asiyevaa dera MK254
Biden alimwambia yupo naye hadi risasi ya mwisho leo anamgeuka1. Yamemkuta yanayo mstahili Natenyahu:
Hauko sawa ujue🤣🤣🤣
It seems you are happy today, enjoyWapi siko sawa ndugu yangu? Tuelekezane, ndiyo ustaarabu. Au nasema uongo ndugu yangu?
It seems you are happy today, enjoy
It is always happy for me when the thought to be cookies, crumble.
Supportive documents pls
Waliwapeleka Israel hapo, kabla waliishi wapi?
Je Israel imeanza ku exist baada ya 1947?
Sifatilii vyombo vya habari maana sio vyote vinasema kweli.Soma hii
Kisha hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...QQFnoECCYQAQ&usg=AOvVaw1TBKsA0x7v0Ku4hYFclH4z
Kwani wewe hufuatilii vyombo vya habari
Sifatilii vyombo vya habari maana sio vyote vinasema kweli.
Natafilia historia yenye ushahidi.
Mhindi alietoka India akaja Tanzania, akawakuta watanzania na kuzaliana vizazi na vizazi hapo. Je hicho kizazi hakitakuwa na haki ya kuitwa watanzania kwa sababu baba yao hakuwa mtanzania?Israel kiasili haina nchi. Ni taifa linalotangatanga kuanzia kwa Baba yao Ibrahim ambaye alikuwa mlowezi hapo Palestina ambapo alikuta wenyeji waitwao Wakanaani