Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Kwani hujui historia inavyotunzwa?
Hivi unawezaje kutumia mawazo ya mwandishi tu wa mtandaoni kama strong evidence?

Zamani njia za mawasiliano ilikuwa kwa maandishi ikiwemo kitabu ,majarida,barua,magombo n.k.

Kwa sasa ndio hiyo mitandao ya kijamii.

Ndio nataka kujua hiyo strong evidence yako ni ipi ili tujadili.
 
Mhindi alietoka India akaja Tanzania, akawakuta watanzania na kuzaliana vizazi na vizazi hapo. Je hicho kizazi hakitakuwa na haki ya kuitwa watanzania kwa sababu baba yao hakuwa mtanzania?

Ndicho ambacho Palestina wanakipigania.
Hawataki taifa lako liitwe Israel(walowezi) wanataka liendelee kuitwa Palestina.

Vipi siku hao wahindi waliolowea huku wakitaka nchi hii iitwe India ninyi wabongo mtakubali?
 
Zamani njia za mawasiliano ilikuwa kwa maandishi ikiwemo kitabu ,majarida,barua,magombo n.k.

Kwa sasa ndio hiyo mitandao ya kijamii.

Ndio nataka kujua hiyo strong evidence yako ni ipi ili tujadili.
Ukipewa mtihani wa hesabu, ukaamua kwenda google kutafuta majibu, ukakuta swali lako limejibiwa na watu 6 ila kila mmoja ametoa jibu lake. Je utakuwa na uhakika nani amejibu sahihi?
 
Unamtegemea kafiri kusitisha vita huku nduguzo katika imaan wamefyata mikia.
Screenshot_20240408-193541~2.png
 
Ukipewa mtihani wa hesabu, ukaamua kwenda google kutafuta majibu, ukakuta swali lako limejibiwa na watu 6 ila kila mmoja ametoa jibu lake. Je utakuwa na uhakika nani amejibu sahihi?

Hesabu sio somo la Historia.

Tolea mfano kwenye Somo la Historia.

Hesabu swali moja jibu ni moja dunia nzima. Ila kwenye Historia haipo hivyo
 
Unamtegemea kafiri kusitisha vita huku nduguzo katika imaan wamefyata mikia.
Unayasoma wapi yote uliyoyaandika?

1. Ninachoandika miye ni mawazo ya watu yakiwamo yako au hata ya Shetani kama yangekuwa yana maana.

2. Wapi nimesema Nina Ndugu zangu Huko? Au wewe ndiyo mwenye ndugu huko?

Sorry to say, "hivi ni kwa nini watu mu wajinga hivi?" Etiquette za kuandika: zero; uwezo wa kufikiria: hamna; tahadhali kwenye usemacho: hamna; scope of view: null!

Kwa hali hizi, huwa shule mlikwenda kufanya nini?

Bure kabisa!

3. Aliyeufyata bila shaka ni nduguyo aliyerudi mezani na akasimama kwa kukosa kiti, tena kule alikoapa kutorudi; na akatoka Gaza "mbio" akikimbia kama kafumaniwa; hali aliapa kutoondoka!
 
Ndicho ambacho Palestina wanakipigania.
Hawataki taifa lako liitwe Israel(walowezi) wanataka liendelee kuitwa Palestina.

Vipi siku hao wahindi waliolowea huku wakitaka nchi hii iitwe India ninyi wabongo mtakubali?
Hapa bado hatujafika kwenye kubadiki jina. Tukae kwanza hapa uliposema Israel hana nchi, ni mtanga tangaji tu. Halafu jibu swali la mfano wa mdhindi kuja Tz. Lets go step by step
 
Hesabu sio somo la Historia.

Tolea mfano kwenye Somo la Historia.

Hesabu swali moja jibu ni moja dunia nzima. Ila kwenye Historia haipo hivyo
Mbona unaruka ruka tu.
Tumia hesabu kama mfano.
Kama umesoma swali na kulielewa, nimesema umekuta majibu 6 tofauti, wewe utathibutisha vipi jibu sahihi kati ya hayo 6?

Kama jibu ni moja je ukimpa mtoto wa darasa la 1 swali 1+1 akasema ni 1
Na mwingine akasema ni 2, nani atakuwa sahihi?
 
Hapa bado hatujafika kwenye kubadiki jina. Tukae kwanza hapa uliposema Israel hana nchi, ni mtanga tangaji tu. Halafu jibu swali la mfano wa mdhindi kuja Tz. Lets go step by step

Nimekujibu sema hujaelewa.

Kwani watanzania wangapi wapo Marekani lakini hawajawahi kutaka hiyo Marekani iwe taifa la watanzania?.
Israel wapo kila pahala hapa duniani na wanaishi kwa amani. Iweje watake nchi ya Palestina ibadilishwe iwe nchi ya Israel? Hapo ndipo utata uliopo.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom