Wewe ndio utakua mjinga sana unaeamini mvuke pia unaponyesha virusi na kukataa chanjo ilhali ARV mnapokea mafurushi ya kutosha !Nashindwa kukupa jina lingine zuri zaidi ya mjinga, Tz wao wanaona mahindi hayana shida, Sasa nj wajibu wa Kenya kupeleka official statement kwa TZ. Ukiachana na hayo kwa nini mpaka wa horohoro kule Tanga Bado mahindi yanaenda Kenya?
Unajimwambafai hapa bure tu huku uko tayari hata kuolewa na wakenya! Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa miafrika wenzenu?Unaona ulivyo mwehu
Ndio shida ya mapumbavu....recognize nigga
Najiamini na my skills and my achievements as a citizen of TZ,ila I recognize wanaofanya better than me,my ambitions is to overtake them
Na ku-overtake mtu ni mpaka utambue his abilities,and recognizing someone's strengths does not make u weak,it helps you make strategic key decisions to best him up
Stop this nonsense wewe maiti
Mahindi yetu yanauzwa nchi zinginr lkn hawajalamika kitoto kama Ke......punguzeni upunguaniBabu, wacha huko Tz, kuna company ya pineapple ya DelMonte ina bidhaa zao kwenye supermarket za nchi za nje nyingi sana (mimi mwenyewe nimeshuhudia na nikavinunua), sasa mbona hizo nchi hazijalalamika kuhusu product ya KE, nyinyi tu ndio mwataka leta issue finyu! [emoji1787]
[emoji3577]
Nikuhemkie wewe?Yaani nikae hapa nihemke sababu nabishana na jinga moja linaitwa "Mkorinto"?
Nigga puulizzz!
Kanchi economy yake ni 100% import economy wewe maiti,nenda kasome,check takwimu!
Hakuna kitu tuna export hata kimoja,get that in your black as.s!
Mnaishi kwenye utopia ya kujidanganya sana,mnapokumbana na reality mnabaki kwenye denial!
Huu ni ugonjwa ndugu
Face the reality you maafakaz
Mpaka leo mataga hamuamini kuna ugonjwa duniani unaitwa Covid,what a denial aisee!
Unapanic nini sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina state reality wewe una-state emotions zako na mediocrity zako
Huna chochote,huna delivery yeyote,uchumi wako ni 1%,huna chochote unachojulikana nacho duniani zaidi ya upumbavu
Upo hapa unashindana na anae perform better than you
Nenda kafanye kazi ya kujenga uchumi kwanza,ukimaliza then tuje kuongea hapa
Mtu kakuzunguka mara 2,then unajifanya kuongea upumbavu.....kazi ya uchumi imekushinda utamuweza nani wewe?
My ambition is to overtake Kenya,Ghana then South Africa, then ndio nizitafute Singapore and other motherfvckers
Nikishakua na uchumi mara tatu au nne ya Kenya then I can push my weight around,sasa hivi una push your skeletons to who?
Fvck you motherfvckers!
Bidhaa gani ambazo zinakuja kwa ndege na lazima zipite Kenya?Endeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara.
Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu, angalia kwa makini sana.
Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA, sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege, itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar, sikilizia bei hapo sasa!
Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee.
Hata kuandika hujui hayo mambo mengine utayajua kweli? Jifunze kuandika kwanza mkuu!!I really hate your ignorance
I dont hate you as a human being,infact human being mostly are stupid,but wewe upo proud kabisa na hiyo stupidity
Thats what I hate
Hu-export mzee,thats a FACT!
Ku-eport au ku-import ni result ya sera za serikali
Sera za serikali hii ni mbovu kiasi kwamba wanadamu waliomo humu nchini hawana option zaidi ya ku-import 100% ili wa-survive
Mimi ku-export ni purely dependant na sera za serikali,sera ni mbovu mno kiasi kwamba ku-export kwa mwananchi ni ku-lose money,na Am I here to lose money sababu ya serikali?
Are you insane?
Kujenga attractiveness ya watu ku-export ni purely government efforts kiasi kwamba mwananchi ku-export iwe inamlipa zaidi ya ku-import,cha ajabu ku-import inatulipa zaidi ya ku-export,na unione na export kukuridhisha kiasi kama wewe na hiyo hasara abebe nani?Mimi?
Fvck outta here!
Kenya uchumi wao ni $95bEndeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara.
Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu, angalia kwa makini sana.
Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA, sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege, itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar, sikilizia bei hapo sasa!
Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee.
Waswahili wana msemo "Usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba"Kwahiyo usilalamike na sisi tunataka kuchukua hatua kama zao sawa?
Nani tembo sasa?Waswahili wana msemo "Usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba"
Walitutangazia kuwa walikufa kwa sababu ya sumu kuvu na tahadhari ilitolewa kwa wananchi. Kwa hiyo sumu kuvu imo katika baadhi ya mazao yetu na siyo yote. Suala la wote kufa huko Dodoma ni ufinyu wako wa fikra kwani hata malaria ipo na inaua hapa nchini lakini hatujafa wote.Walikula mahindi au karanga zilizooza ,zenye ukungu sio sawa na mahindi haya ya Leo ingekuwa Hivyo wote tungeshskufa Kama huko Dodoma
hii methali yako haikai eneo hili,maana tembo haonekani.Waswahili wana msemo "Usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba"
huyo ni FIPA pro max.Nani tembo sasa?
Ndio sababu tunasema mnajidharau sana mbele ya wakenya..
Wewe ndiye unajitoa akili kwani hujui kuwa Kenya ni ya pili baada ya Uingereza kufanya biashara na Tanzania? Kenya inatuuzia zaidi kuliko sisi tunavyoiuzia!Nani tembo sasa?
Ndio sababu tunasema mnajidharau sana mbele ya wakenya..
watu kibao wana vichwa vyeupe na wamekuzidi kufikiri.mf wazungu.Utaonaje na wewe kichwani mweupe?
Ndio sababu unataka hata wakikupiga kofi utulie tu na ulie kwa kupiga magoti?Wewe ndiye unajitoa akili kwani hujui kuwa Kenya ni ya pili baada ya Uingereza kufanya biashara na Tanzania? Kenya inatuuzia zaidi kuliko sisi tunavyoiuzia!
Kabisa yani hajielewihuyo ni FIPA pro max.
yale mafuasi ya antipasi.
Tengeneza maadui ili upate kazi ya kuwa msuluhishi.Wakuu Kwema,
Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc.
Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa Binadamu? Dawa za Meno hata tukiosha kinywa baada ya kutumia dawa hizi bado kuna mabaki tu yatabaki mdomoni. Na pia mafuta ya kupaka tunayotumia vipi usalama wa ngozi wetu? Mafuta yametumia Kemikali gani kutengenezwa?
Kuna Biscuits, Pipi, Juice, Maziwa na vitu vingine vingi tu tunatumia kutoka kwa hawa Jirani zetu, usalama wake ukoje? KIWI nayo ikigusa ngozi zetu haina madhara?
Nadhani umefikia wakati sasa Serikali kuzuia "importation" ya hizi bidhaa mpaka kwanza ichunguze usalama wake. Uchunguzi ufanyike polepole tu hata kwa miaka mitano au zaidi haina haja ya kuharakisha ili matokeo tutakayoyapata based on uchunguzi huo yawe ni matokeo sahihi.