Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Hiyo documentary imekuwa fact checked na kukutwa ina matatizo mengi sana .

Si kila kilicho Netflix kina credibility.

Soma hapa.

 
Watu wana addiction
Kitu kinajulikana siyo kizuri
Lkn bado wanangangania

Ova
Mkuu mbona wewe unapogida "udenda wa shetani" watu hawasemi?

Au umeacha siku hizi?

Ebwana nakuja home summer niandalie vile viwanja vyetu kama last time.

Ova.
 
Chief hebu acha unazi asee, Nungwi ipi unaizungumzia wewe?.

Labda hotelini na hata hotelini siyo 1000/1500 ni zaidi ya hiyo to 4000.

Nungwi pale kontena kwa dada wa kichaga anauza 1000 ila unaondoka na chupa bila hivyo ni 600, aya njoo Pwani mchangani hapa madukani 500 ila ya plastic 1000.

Ninapojua soda bei juu ni hapo Malijani shs 6000 ya chupa, alah!

Unawadanganya kina nani lakini?.
 
Miongoni mwa vitu ambavyo havitakuwi kutuumiza akili vikipanda bei ni soda.

Kwa sababu, ukinywa soda haupati faida yoyote, na usipokunywa haupati hasara yoyote.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na mimi ndivyo ninavyoelewa!

Lakini majority wamekaririshwa kuwa sukari ni sumu!

Hata ukiwaambia wachanganue ni sumu kivipi kwa kuhusianisha na udhaifu wa kongosho la mgonjwa kukosa uwezo, pamoja na vyakula vya wanga vinafanyaje kazi mwilini, utakuta hawana uelewa huo.

Tena kuna watu wanaishi kwa uoga wakikwepa vitam tam huku wakifanya kazi ngumu kwa kukosa uelewa ama kwa kupotoshwa!
 
Bro naongea kwa uzoefu , ebu nenda Cobra, Highland, Africana, Sea view, Ndoto, Kilimani kama utapata soda kwa shilingi 600.!!
 
Niliona documentary 1 ikieleza jinsi soda zinavyowamaliza wa-mexico kwa kuwafanya kua wanene waliopitiliza na kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Kwny hio documentary Wakaonyesha na namna ambayo baadhi ya ma Prof &Dr's walivyochapisha research zao kuonyesha namna soda haileti magonjwa hayo lkn mwisho wa siku ilipokuja kufuatiliwa waliozi fund hizo research za hao ma Prof&Dr's ikabainika Ni Coca-Cola na ma agent wake.

So akili kichwani
 
Inachochea kisukari... Wafanye utafiti wasifanye ! Ukweli soda ni hatari kwa afya.. !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bro naongea kwa uzoefu , ebu nenda Cobra, Highland, Africana, Sea view, Ndoto, Kilimani kama utapata soda kwa shilingi 600.!!
Hata wewe umeandika kiunazi, huelewi ila umeandika kuonekana unajua maeneo, nilichoandika hapo kinajieleza na hapa tunaongelea maeneo ya kawaida ambapo soda inauzwa 500/600/1000.

Mambo ya 2star au 5star au vijiwe vya watalii hayahusiki kwenye mjadara huu, huko bei zinafahamika.
 
Soda Leo nimenunua elf 11800 per creti moja mwanzo ilikua 9700 aisee na sasa ni rasmi soda za coca zinauzwa tsh 600 badala ya miatano ya awali,

Ama kweli mama anaupiga mwingi.
Wataalam wa afya wametuonya kuhusu cafene kwenye ustawi wa figo zetu
 
Sasa wewe ndo unaandika kinazi, kama huijui Nungwi bora utulie tu bro, hayo maeneo niliyotaja ni very local bar. Acha kujifanya unajua wakati hujui kitu. Sisi ndo tunakaa Nungwi na tunapafahamu.!! Eti Cobra ni 2star au 5star πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.!
 
Umekimbia kusoma na kujibu hiyo 2 na 5star tu, mbona hiyo nyingine hujaiandika.

Punguza hasira tupo kwenye kwaresima na ramadhan, tuache ushamba.
 
Umekimbia kusoma na kujibu hiyo 2 na 5star tu, mbona hiyo nyingine hujaiandika.

Punguza hasira tupo kwenye kwaresima na ramadhan, tuache ushamba.
Nakufahamisha kama hupafahamu Nungwi bora uwe mpole, soda ni 1000 sehemu yeyote ambayo ni local wanapouza chakula, migahawa, kwa mama ntilie, bar na pubs, kuanzia Hambulu hadi Kendwa.! Sasa kama unabisha endelea na ubishi wako.!
 
Hao wapotoshaji,

Wagonjwa wa kisukari wamepona na kuacha kujidunga insulin kwa kuacha kula sukari kwa 90% kwa miezi mitatu.

Sukari inapanda, sukari imezidi kwenye damu afafu unakula sukari inategemea nini.

Kumpa mgonjwa wa sukari insulin ni sawa na kufagilia uchafu chini ya meza.
 
Yani unalalamika sumu kupandishwa bei?
Kuna kitu gani sio sumu dunia ya leo?.Tunapishana tu viwango ila shida ni zile zile.Kwa mfano mimi sinywi soda ila ka castle au ka kilimanjaro ka baridi nagonga kama kawaida.kwahiyo unaweza kukwepa uku ila ukapatikana kwingine.kuanzia vyakula hadi mtindo wa maisha.
 
Ushasema wagonjwa wa sukari.

Vipi mtu ambae hana kisukari ?

Anapataje kisukari kwa kula sukari?

Kwa biochemical mechanism gani ?
 
Soda Leo nimenunua elf 11800 per creti moja mwanzo ilikua 9700 aisee na sasa ni rasmi soda za coca zinauzwa tsh 600 badala ya miatano ya awali,

Ama kweli mama anaupiga mwingi.

Acha yapande tu, masoda yenyewe yamekua mabaya siku hizi

Kama unapenda pepsi like twendre sawa
 

Simple bios
Glucose huwa inakuwa stored kama glycogen kwenye liver
Ikijaa kwenye liver sasa inaanza kubadilishwa kuwa fats na kuwa stored kwenye muscles and blood vessels [emoji568] na hapo ndio shida inaanza coz
Kwenye blood vessels itapelekea magonjwa ya moyo
Kwenye muscles itapelekea kudecrease kwa sensitivity ya muscles kwenye insulin na hivyo mwili kushindwa kutumia sukari na hivyo sukari inabaki kwa damu then DM
 
Msigenerelize mambo na mstutishe apa.
Naa ukiwa mjingamjinga huwezi kufaidi maisha;
Utaambiwa soda ni sumu utainywa kwa mashaka

Utaambiwa mafuta ni sumu utayakula kwa kwa mashakamashaka. Wanga sijui unaleta kitambi hadi ugali usile yaani tabu tupu.



Yule aliyesemaga kitu kinachomuingia mtu sio hatari kihivyo ila wadili na kilichomo ndani yako zaifi alishamaliza. Ebu kuwa na taarifa sahihi. Anyway kila kitu kwa kiasi. Na kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…