Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Na hiki ndicho mlichokuwa mnataka
Sasa mnaenda kuwapa shida wananchi namna hii kwa maslahi yenu.
 
Unalia soda sh. 600?
Wenzako huku 1000. Iwe ya chupa ya kigae iwe take away, bei ni hiyo.
 
Hivi kwanini tusigome kununua baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu sana kwenye maisha yetu? Tukigoma kunywa soda kwani itakuaje?
Hilo ndiyo suluhisho badala ya kulialia

Ova
 
Huku kwetu alizeti lita 5 ni 30,000 hiyo 39 ni too much jamani [emoji24][emoji24][emoji24] vitu vinapanda bei ila mshahara upo pale pale
 
Na hiki ndicho mlichokuwa mnataka
Sasa mnaenda kuwapa shida wananchi namna hii kwa maslahi yenu.
Ukisikia Survival of the fittest, ndiyo hii sasa! The strong (matajiri, wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima wakubwa/wa kati) will survive, while the weak (wanyonge) will suffer/be perished.

Na hii ndiyo maana sahihi ya ule msemo wa "mama anaupiga mwingi"
 
Chief ameshasema muache kulialia mno bei lazima zipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…