Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Safi sana, Sisi ndio wanananchi tunaopaswa kupumua uongozi ukiongeza tu umakini kidogo🤔🤔🤔
Kaka uko sector hii ? Hongera Sana.
Majuzi nilibahatisha hela Fulani nikasema siku nyingi sijaingja viwanja vikali maana nishiaga kwenye vilabu vya ulanzi .

Huyo mpaka maeneo Fulani makali nikiwa na kila laki changu ,hapo nile monde alafu nipate binti nikamuoneshe paka anayeongea kwangu .

La haula ,si nikamkuta bro mmoja alikuwa ananishauri kipindi Fulani kuacha pombe yeye ni engineer ila mpaka ilikuwa inafika muda anakuwa daktari akianza kunieleza habari za figo na maini ,naye yupo anapiga monde taratibu alafu kachangamka anaamka anacheza mziki taratibu 😀😀

Nikasema hiki kikombe sio Cha kitoto kila aliye na pumzi Hana budi kukionja
 
Huyo dokta/liganga/litabibu alikushauri vema.Hakupenda utumalizie bia zetu.😂😂😂🙏
 
😂😂😂Figo na maini anataka azikiwe nazo zikiwa nzima za kazi gani mkuu🚮
 
Walevi no watu na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…