Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Biashara kongwe na zenye kulipa.Hata Yesu alijaliza mabalasi kwa mvinyo saaafiii.Tukifa napo tutapatiwa 72 huku tunajigaragaza kwenye vijito vya ulabu.Itakuwa raha tupu sheikh!
Ah mie wanipe tuu hao 72. Ulabu nawaachia nyie. Au kama vipi share yangu ya ulabu nakupa wewe alafu wee unipe share yako ya manamke 72 😜
 
Ukijumlisha na sigara na vocha siunajua tukilewa tunaongea balaa. Itafika tril 1.5
 
Hii biashara ya sigara imekaaje mzee wa ma agent wakubwa
 
Mda mwingine izo pongezi ni za kuwavunja moyo wale wana tumia bia. Jamii zetu huwa na tabia ya kumchukulia mtu anaye kunwa bia kama mzembe, mvivu, irresponsable. Wakati kule bar kuna watu nao ambao wame ajiriwa kuwa wahudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…