Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Tatizo mmekaa mnajadili picha fake ndo maana hamuelewani.Inamaana wote mmeshindwa kuona kama io picha imekua edited.
 
Gwajima ata tandikwa kama mtoto mdogo, aachane na vijana wa Tandale! Shauri yake!
Unaota huku unanyea poti wewe. Hivi Gwajima inamjua au unamsikia??? Eti atapigwa na watoto wa tandale. Hili ndio tatizo la kukesha Facebook unaamini jay z ndio tajiri wa dunia
 
Naomba Gwajima Aone hii hata kama sio ya Diamond!😱😱😱
 
Hatuzungumzii hiyo Chrisplatnumz, sisi tunaangalia hiyo Comment ya diamondpkatnumz alomjibu uwezohusein... Alafu mpuuzi mwenyewe
Man STUNTER acha kupoteza nguvu yako manake kuna watu sio mafala tu bali ni viazi....kama vitu vidogo kama hivyo wanashindwa kuving'amua utapata tabu kumuelewesha chizi (in darassa voice's)
 
Hapo chacha...kigodoro cha Tandale +Kigodoro cha Koromije...raha sana
 
Alafu wabongo mnakurupuka sasa kulishwa maneno, nimeingia accounts za Diamond twitter na instagram, hamna post kama hii.
 
Mbona wana jamvi hamuongei vitu vya msingi Hugo mind kawakosea nin hafu kutwa mnasema hakuna ajira tafakarini
 
asitake kupoteza issue ya bashite hapa watu bado tupo na bashite
 
Kama hawa mwabudu wewe yanakuhusu nini wewe mzee!!
Kila mtu anahaki ya kuabudu kile anacho amini ili mradi kisilete side effects!!

So tuliza mshono!
[HASHTAG]#diktetauchwaramustresign[/HASHTAG]!
 
kaeni kimya na nyie mnamchokonoa wa nini, yeye akifunga nyie mnamuandama, akiwaandama nyie maneno hayooo, kweli kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha
 
Duuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sana
Hua anajibu sana. Ebu tafuta diamondreplies ndo ujue. Binadamu hamkosagi la kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…