Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaota huku unanyea poti wewe. Hivi Gwajima inamjua au unamsikia??? Eti atapigwa na watoto wa tandale. Hili ndio tatizo la kukesha Facebook unaamini jay z ndio tajiri wa duniaGwajima ata tandikwa kama mtoto mdogo, aachane na vijana wa Tandale! Shauri yake!
Sio kwamba ni kiki ili apate kupromote nyimbo yake hiyo kwa sababu kwa sasa gwajima ana public support kubwa?Kajulikana kabla ya gwajima. Gwajima kapaniki kuambiwa yuko vitani na mpambanaji wa madawa ya kulevya.
Man STUNTER acha kupoteza nguvu yako manake kuna watu sio mafala tu bali ni viazi....kama vitu vidogo kama hivyo wanashindwa kuving'amua utapata tabu kumuelewesha chizi (in darassa voice's)Hatuzungumzii hiyo Chrisplatnumz, sisi tunaangalia hiyo Comment ya diamondpkatnumz alomjibu uwezohusein... Alafu mpuuzi mwenyewe
Gwajima ana support kubwa toka kwa nani?? Support ipi hiyo??Sio kwamba ni kiki ili apate kupromote nyimbo yake hiyo kwa sababu kwa sasa gwajima ana public support kubwa?
Gwajima ana support kubwa toka public kwa sasa, huamini au hutaki?Gwajima ana support kubwa toka kwa nani?? Support ipi hiyo??
[HASHTAG]#MangeBrigade[/HASHTAG] labda.Gwajima ana support kubwa toka public kwa sasa, huamini au hutaki?
Unaona sasa, mi ndo maana nashangaa diamond kushupalia swala LA kipuuzi LA Freemasonry.Alafu wabongo mnakurupuka sasa kulishwa maneno, nimeingia accounts za Diamond twitter na instagram, hamna post kama hii.
Kama hawa mwabudu wewe yanakuhusu nini wewe mzee!!Acha kukuza issue, anamjibu aliyemsema humo. Hamjui kuna watu wanatukana na kumpandia mtu hadi lazima yeye ameshindwa kuvumilia.
Naye ni binadamu, acha awajibu lolote
Gwajima kanisa lake lichunguzwe kiundani, ni la nini haswa. Hawamwabudu Mola bali udaku tu kupaisha biashara hiyo.
kaeni kimya na nyie mnamchokonoa wa nini, yeye akifunga nyie mnamuandama, akiwaandama nyie maneno hayooo, kweli kunya anye kuku lakini akinya bata kaharishagwajima mtu wa hovyooo sana japo anasaidia kufichua baadhi ya maovu,ila hata kichaa anamsaada ktk jamii,mfano kuokota uchafu etc.mtu aliomba msamaha but still unamchokonoa tu,tena ngoja usifikiri kukaa kimya kwa vyombo vya dola usifkr ww ni champion,
Mbona kwenye wimbo kaimbwa vzur tu kuna tatzo gnkaeni kimya na nyie mnamchokonoa wa nini, yeye akifunga nyie mnamuandama, akiwaandama nyie maneno hayooo, kweli kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha
My bad, sikuona freshNdio account yake haswa followers 3.5 million
Ni shida hawa watuMbona kwenye wimbo kaimbwa vzur tu kuna tatzo gn
Hua anajibu sana. Ebu tafuta diamondreplies ndo ujue. Binadamu hamkosagi la kuongeaDuuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sana