Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

week ijayo tutaendelea naye madhabahuni... kumbe Mrs Gwajima ni Msingapore..? mbona hafanani na singasinga wa singapore...?

Kwa kuanzia tu, huyu kaka yetu kalishwa ile kitu mnaitaje sijui..
 
Waziri Gwajima amesikika Mara kadhaa akisema mchungaji Gwajima Ni shemeji yake ..inaonekana baba yake mchungaji Gwajima na baba wa mume wa waziri wanaweza wakawa mtu na Kaka yake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kuna sehemu alisema kuwa katika baba zao walio hai huyo ndiye aliyebakia na kwa mila zao wasukuma ni kweli ndo baba mkwe ila maadam amemkana ina maana kuwa ukoo si mmoja tena dorothy na josephat wameawagawa tayari
 
Gwajima askofu kwa tabia zake za uongo sitashangaa akifanya huo mchezo, yule ni msanii tu anaecheza na upepo kuwakamata wasiojua kufikiria vizuri, akiwaambia Corona haiji wanamshangilia, ikija anawadanganya na kingine sichanjwi wanamshangilia tena.
Na kanisa limejaa waumini na huwaambii kitu kuhusu Gwaji boy[emoji1787][emoji1787]
 
Gwajima askofu kwa tabia zake za uongo sitashangaa akifanya huo mchezo, yule ni msanii tu anaecheza na upepo kuwakamata wasiojua kufikiria vizuri, akiwaambia Corona haiji wanamshangilia, ikija anawadanganya na kingine sichanjwi wanamshangilia tena.
Kweni wewe Corona uliiona wapi huku uswahilini?

Popompo
 
Back
Top Bottom