Baba wa askofu gwajim a na baba wa gwajima mme wa waziri, ni mtu na kaka yake kabisaa. So mume wa waziri amekana si baba yake mzazi wa kumzaa,. Lakini ni baba yake mkubwaa kabisaa na ndiyo aliyebakia katika ukoo wao.Ina maana mama yao ni mmoja au!
Inshort hawa watu askofu gwajima na gwajima mme w awaziri ,wana bifu muda mrefu, kama mnakumbuaka kuna kipindimiaka ya Nyuma enzi gwajima ana mzozo.na bashite,
Huyu mme wa waziri alijitokeza akaita press na kuanzia kuongea bashite asimuogope askofu, na kwamba ni kaka yake ,na kumswmea.mbovu Sana.
So hii ya kusema.hamtambui Mathias gwajima ni hasira za mke wake kupokea kichambo au kushushiwa.kitu kizito.na gwajima.