ukisema 100% ya ada maana yake ni ada yote unalipiwa. hiyo yakuongeza ni kwa vyuo vyote haijalishi ni vya umma au binafsi na lazima uongezee ili kucover michango mbalimbali nje ya ada
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua
kapata data kutoka sehemu fulani ndoo kaleta hilo swala hapa jukwaani mkuu,kuwa mpole,uliza maswali ya kujenga mbna unatia hasira bwnah mkubwaaahilo bifu wewe umelijuaje mkuu?
TCU hawashindwi ku-compile prospectus yenye vyuo vyote na entry requirements zote ili mwanafunzi popote alipo aweze kufanya informed choice, kutaka kila mwanafunzi popote alipo aende mwenyewe kuchunguza ni kutokuwa efficient na ni kazi rahisi sana ambayo TCU wangeifanya na inabidi waifanye.., na kwenye website yao inabidi kuwa na ushauri na site iwe interactive mtu akijaza masomo yake tu.., na grades vije vyuo vyote ambavyo anaqualify na mwisho iwe ni yeye kuchagua kutokana na preference.., hence mwisho wa siku aende kule alikochagua na sio alikochaguliwa
kapata data kutoka sehemu fulani ndoo kaleta hilo swala hapa jukwaani mkuu,kuwa mpole,uliza maswali ya kujenga mbna unatia hasira bwnah mkubwaaa
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua
suala ni 1 tu kama mtu anataka kwenda let say UDSM,MUHIMBILI ajitahid kusoma afaulu,udsm tangu kipindi cha manua application wao ndo sera yao,tena nahis kwa sasa walau kidoogo wamepunguza makali,
suala ni 1 tu kama mtu anataka kwenda let say UDSM,MUHIMBILI ajitahid kusoma afaulu,udsm tangu kipindi cha manua application wao ndo sera yao,tena nahis kwa sasa walau kidoogo wamepunguza makali,
kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu. lakin pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha
Mdau hii ni taarifa inayotoa dira nzuri sana,Kujua cutpoint za mwaka wa masomo uliopita zinakupa muongozo mzuri sanatcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua
Mdau hii ni taarifa inayotoa dira nzuri sana,Kujua cutpoint za mwaka wa masomo uliopita zinakupa muongozo mzuri sana
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua
ndo ivo mtu akifaulu hamna shida kuna jamaa angu mwaka 2011 alijaza vyuo viwili tu cozi tano ud na mzumbe akapata ud alifanya hivyo cuz alikuwa kapiga fresh pepa yake (one ya 5) lakini meaka huu tena kuna dogo wa pcb alikuwa two ya 8 ametemwa kutokana na ushindani. sas mtu ana three arts anajaza ud lazima ushindani umshinde tu afu anarud jf kulalamika

hahahaha three arts???udsm???mavi ya bataaa,na hapo wajitahid huko walikopata wasome wapate GPA kubwa kama wana ndoto za kwenda kusoma MASTERS UDSM,maana watatemwa tu,udsm wanamchukua mtu wa 3.1 GPA YA UNDEGRADUATE YA UDSM,NA WANAMUACHA WA 4.0 GPA YA PRIVATE INSTITUION
mwaka huu yupo mtu ana three sociology UDSM. Msipotoshe watu.
kabla ya mfumo wa CAS kuanza mdogo wangu alitaka kusomea pharmacy na alipata III kombineshen yake PCM,nikamwambia bwana mdogo hapo utajisumbua najua si muhimbili si bugando hawatakuchukua,ila nikamuona kama hajaridhishwa na maelezo yangu,nikampa pesa ya application,nikamwambia omba vyuo vyote unavyofikiria wewe ila usisahau SUA,akaomba na UDSM akaomba chemical processing(sijui blah blah gani za CoET),akakosa vyuo vyote vile alivyoviamini yaani UDSM,MUHAS,BUGANDO akapata SUA KOZI INAITWA BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCINECE(BLS),na mkopo wakampa 100% leo hii amesahau hata ufamasia anafanya kaz anaingiz anajipatia rizki yake,nilimwambia kwa III yako hii ukikosa chuo mwaka huu(mwaka alomaliza 6)mwakan usitegemee,tuwe tunawashaur hawa madogo kila tupatapo nafas japo nao wabish kama wajumbe wa BMK na UKAWA
mwaka huu yupo mtu ana three sociology UDSM. Msipotoshe watu.