Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
ukisema 100% ya ada maana yake ni ada yote unalipiwa. hiyo yakuongeza ni kwa vyuo vyote haijalishi ni vya umma au binafsi na lazima uongezee ili kucover michango mbalimbali nje ya ada
nani kakudanganya heslb wameshapitisha asilimia mia yao ni ngapi mfano kama md wameeka ni mil 2 watakupa io ml 2 kama chuo chako ada ni ml 6 still utapewa ml2 maana ndo asilimia mia ya ada elekezi so utalipia mil 4 japokuwa unamkopo asilimia mia cheers walopangiwa kampala un miaka ya nyuma wanalifahamu ili!