Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

ukisema 100% ya ada maana yake ni ada yote unalipiwa. hiyo yakuongeza ni kwa vyuo vyote haijalishi ni vya umma au binafsi na lazima uongezee ili kucover michango mbalimbali nje ya ada

nani kakudanganya heslb wameshapitisha asilimia mia yao ni ngapi mfano kama md wameeka ni mil 2 watakupa io ml 2 kama chuo chako ada ni ml 6 still utapewa ml2 maana ndo asilimia mia ya ada elekezi so utalipia mil 4 japokuwa unamkopo asilimia mia cheers walopangiwa kampala un miaka ya nyuma wanalifahamu ili!
 
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua

TCU hawashindwi ku-compile prospectus yenye vyuo vyote na entry requirements zote ili mwanafunzi popote alipo aweze kufanya informed choice, kutaka kila mwanafunzi popote alipo aende mwenyewe kuchunguza ni kutokuwa efficient na ni kazi rahisi sana ambayo TCU wangeifanya na inabidi waifanye.., na kwenye website yao inabidi kuwa na ushauri na site iwe interactive mtu akijaza masomo yake tu.., na grades vije vyuo vyote ambavyo anaqualify na mwisho iwe ni yeye kuchagua kutokana na preference.., hence mwisho wa siku aende kule alikochagua na sio alikochaguliwa
 
Kama ni ukweli huo basi chuo cha Stella Maris kimeonewa sana maana kimepata wanafunsi 193 that is not fair

��
 
hilo bifu wewe umelijuaje mkuu?
kapata data kutoka sehemu fulani ndoo kaleta hilo swala hapa jukwaani mkuu,kuwa mpole,uliza maswali ya kujenga mbna unatia hasira bwnah mkubwaaa
 
TCU hawashindwi ku-compile prospectus yenye vyuo vyote na entry requirements zote ili mwanafunzi popote alipo aweze kufanya informed choice, kutaka kila mwanafunzi popote alipo aende mwenyewe kuchunguza ni kutokuwa efficient na ni kazi rahisi sana ambayo TCU wangeifanya na inabidi waifanye.., na kwenye website yao inabidi kuwa na ushauri na site iwe interactive mtu akijaza masomo yake tu.., na grades vije vyuo vyote ambavyo anaqualify na mwisho iwe ni yeye kuchagua kutokana na preference.., hence mwisho wa siku aende kule alikochagua na sio alikochaguliwa

hapo sawa ila huwezi kwenda udsm na div 3 wakati watu wana div 2 na wanaachwa kutokana na ushindani,muda mwngne ni uelewa mdgoo wa wanafunzi na kutopenda kujihusisha na watu mbalimbali ktkkuombaa ushauri hiloo ndoo tatzo sasa
 
kapata data kutoka sehemu fulani ndoo kaleta hilo swala hapa jukwaani mkuu,kuwa mpole,uliza maswali ya kujenga mbna unatia hasira bwnah mkubwaaa

wew ndo hujajua kuwa nimeuliza swali la kujenga huwezi ongea from no where bila source. kama angeandika hizo taarifa kazitoa wapi unadhani ningeuliza?

na ndo maana mwenyewe kaelewa kuwa swali langu ni la msingi na ndo maana akasema taarifa kazitoa wapi.
 
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua

suala ni 1 tu kama mtu anataka kwenda let say UDSM,MUHIMBILI ajitahid kusoma afaulu,udsm tangu kipindi cha manua application wao ndo sera yao,tena nahis kwa sasa walau kidoogo wamepunguza makali,
 
ndo ivo mtu akifaulu hamna shida kuna jamaa angu mwaka 2011 alijaza vyuo viwili tu cozi tano ud na mzumbe akapata ud alifanya hivyo cuz alikuwa kapiga fresh pepa yake (one ya 5) lakini meaka huu tena kuna dogo wa pcb alikuwa two ya 8 ametemwa kutokana na ushindani. sas mtu ana three arts anajaza ud lazima ushindani umshinde tu afu anarud jf kulalamika
 
tena kipindi kile cha manual ndo ilikuwa ngumu sana sababu kwanza vyuo vilikuwa vichache sana
 
kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu. lakin pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha

Vyuo binafsi vingi vipo kwa ajili ya kupata ada za wanafunzi tu kozi wanazofundisha nyingi ni za ualimu na bishara na elimu yao siyo bora kabisa wanafunzi wengi wanaishia kupata GPA kubwa lakini kichwani ni wa kawaida, unakuta chuo kila mwaka wa masomo hakina supplimentary au discontinued kwa wananfunzi.
 
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua
Mdau hii ni taarifa inayotoa dira nzuri sana,Kujua cutpoint za mwaka wa masomo uliopita zinakupa muongozo mzuri sana
 
yaaa inasaidia mtu anakuwa na uwezo wa kuhoji kama atapata au laaa
 
tcu imeeleza kuwa minimum entry kwa higher educatio ni cuttoff 2.0 ila sas wewe unapaswa kwenda chuo husika na kuangalia wao wanataka point ngapi? mfano udsm mtu wa mwisho kwa sheria ana point 11.5 educatio arts ana 10.5 sasa kama una below huwezi enda lakin angalia vyuo vingine hadi 2.5 wamechukua

changamoto bado ipo
 
ndo ivo mtu akifaulu hamna shida kuna jamaa angu mwaka 2011 alijaza vyuo viwili tu cozi tano ud na mzumbe akapata ud alifanya hivyo cuz alikuwa kapiga fresh pepa yake (one ya 5) lakini meaka huu tena kuna dogo wa pcb alikuwa two ya 8 ametemwa kutokana na ushindani. sas mtu ana three arts anajaza ud lazima ushindani umshinde tu afu anarud jf kulalamika

hahahaha three arts???udsm???mavi ya bataaa,na hapo wajitahid huko walikopata wasome wapate GPA kubwa kama wana ndoto za kwenda kusoma MASTERS UDSM,maana watatemwa tu,udsm wanamchukua mtu wa 3.1 GPA YA UNDEGRADUATE YA UDSM,NA WANAMUACHA WA 4.0 GPA YA PRIVATE INSTITUION
 
kabla ya mfumo wa CAS kuanza mdogo wangu alitaka kusomea pharmacy na alipata III kombineshen yake PCM,nikamwambia bwana mdogo hapo utajisumbua najua si muhimbili si bugando hawatakuchukua,ila nikamuona kama hajaridhishwa na maelezo yangu,nikampa pesa ya application,nikamwambia omba vyuo vyote unavyofikiria wewe ila usisahau SUA,akaomba na UDSM akaomba chemical processing(sijui blah blah gani za CoET),akakosa vyuo vyote vile alivyoviamini yaani UDSM,MUHAS,BUGANDO akapata SUA KOZI INAITWA BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCINECE(BLS),na mkopo wakampa 100% leo hii amesahau hata ufamasia anafanya kaz anaingiz anajipatia rizki yake,nilimwambia kwa III yako hii ukikosa chuo mwaka huu(mwaka alomaliza 6)mwakan usitegemee,tuwe tunawashaur hawa madogo kila tupatapo nafas japo nao wabish kama wajumbe wa BMK na UKAWA
 
mwaka huu yupo mtu ana three sociology UDSM. Msipotoshe watu.
 
unajua kuna watu wabishi sana mtu ushaexperience na mambo yanavoenda ukimshauri anaona unamwekea kiwingu kutokana kuwa ana idea flan mgando kichwani mwake. so mtu ukimshauri asipoelewa unamwacha afanye apendacho then mbele ya safari atakuja kukumbuka maushauri yako.
 
Back
Top Bottom