Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

Sunny Deol ni mshamba sana, Sana unamchukiaje mtu aliiyekufunika kwenye kazi? Jamaa majivuno mengi ndio yaliyokua yanamsumbua. Alishindwa kukubali kijani mdogo from no were alimfunika na the rest ikawa ni history.
Ana ujinga mwingi ndio maana hata kwenye filamu hakubali yeye kupigwa Wala kuigiza adui, yeye siku zote anapenda aonekane shujaa.
 
Sunny Deol ni mshamba sana, Sana unamchukiaje mtu aliiyekufunika kwenye kazi? Jamaa majivuno mengi ndio yaliyokua yanamsumbua. Alishindwa kukubali kijani mdogo from no were alimfunika na the rest ikawa ni history.
kwenye industry ya burudani hicho kitu kinaangaliwa sana.
hata kwenye music,ukimshirikisha mtu akaingiza vocal zikakumeza,unazipunguza au unamtoa kabisa.

sasa huko ktk filam ndio ndio usiseme,umeona watu wanagomea nafasi ya adui,wanakataa wasifu wao kukaa vibaya kwenye macho ya jamii.
kuna hasara zake pia.

huyu SRK hakuangalia hayo sababu alikua anatafuta kuingia mjini.
 
Nakubaliana na wewe
 
Jamaa he had nothing to loose, filamu ya Baazigar ilikatiliwa na mastar 7 tofauti ndipo ilipoangukia kwakwe. Darr ilikataliwa na mastaa wa 3 ndipo ikaangukia kwake. ndani ya miezi miche akawa mashuhuri nchi nzima na maeneo kibao nje ya nchi.
 
Duniani, yeye anashikilia nafasi ya 3.

Kwenye top ten ya waigizaji matajiri zaidi duniani ,SRK ndiye muhindi pekee aliye ndani ya hiyo top ten.
Screenshot_20231209-165815.jpg

Hapo alipo ndio namba tatu eti!??.....
 
Back
Top Bottom