MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Eeh anataka kua mZunGu 😂hazeeki lakin kama dizaini anaongezeka pua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh anataka kua mZunGu 😂hazeeki lakin kama dizaini anaongezeka pua tu
Nasikia eti walimu hawazeeki, kulikoni...kwani wao ni akina nani?SRK utadhani ni mwalimu, hazeeki.
Ana ujinga mwingi ndio maana hata kwenye filamu hakubali yeye kupigwa Wala kuigiza adui, yeye siku zote anapenda aonekane shujaa.Sunny Deol ni mshamba sana, Sana unamchukiaje mtu aliiyekufunika kwenye kazi? Jamaa majivuno mengi ndio yaliyokua yanamsumbua. Alishindwa kukubali kijani mdogo from no were alimfunika na the rest ikawa ni history.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hazeeki lakin kama dizaini anaongezeka pua tu
Ana ujinga mwingi ndio maana hata kwenye filamu hakubali yeye kupigwa Wala kuigiza adui, yeye siku zote anapenda aonekane shujaa.
Hawana stress sana na kazi....Nasikia eti walimu hawazeeki, kulikoni...kwani wao ni akina nani?
Miongoni mwa waigizaji wa Bollywood nisiowakubali.jamaa ni mshamba mshamba, always yeye anjiona top kwenye kichwa chake wakati hakuna kitu kama hicho.
Mr PerfectBinafsi namkubali sana Aamir Khan, movie zake nyingi akili imetumika, hao wengine watajuana wenyewe
kwenye industry ya burudani hicho kitu kinaangaliwa sana.Sunny Deol ni mshamba sana, Sana unamchukiaje mtu aliiyekufunika kwenye kazi? Jamaa majivuno mengi ndio yaliyokua yanamsumbua. Alishindwa kukubali kijani mdogo from no were alimfunika na the rest ikawa ni history.
Watatu wahindi !?? Au .....Pesa pia inachangia.
SRK ni miongoni mwa waigizaji watatu wenye pesa zaidi duniani.
Nakubaliana na wewekwenye industry ya burudani hicho kitu kinaangaliwa sana.
hata kwenye music,ukimshirikisha mtu akaingiza vocal zikakumeza,unazipunguza au unamtoa kabisa.
sasa huko ktk filam ndio ndio usiseme,umeona watu wanagomea nafasi ya adui,wanakataa wasifu wao kukaa vibaya kwenye macho ya jamii.
kuna hasara zake pia.
huyu SRK hakuangalia hayo sababu alikua anatafuta kuingia mjini.
Duniani, yeye anashikilia nafasi ya 3.Watatu wahindi !?? Au .....
kwenye industry ya burudani hicho kitu kinaangaliwa sana.
hata kwenye music,ukimshirikisha mtu akaingiza vocal zikakumeza,unazipunguza au unamtoa kabisa.
sasa huko ktk filam ndio ndio usiseme,umeona watu wanagomea nafasi ya adui,wanakataa wasifu wao kukaa vibaya kwenye macho ya jamii.
kuna hasara zake pia.
huyu SRK hakuangalia hayo sababu alikua anatafuta kuingia mjini.
Weka hiyo list...Duniani, yeye anashikilia nafasi ya 3.
Kwenye top ten ya waigizaji matajiri zaidi duniani ,SRK ndiye muhindi pekee aliye ndani ya hiyo top ten.
Duniani, yeye anashikilia nafasi ya 3.
Kwenye top ten ya waigizaji matajiri zaidi duniani ,SRK ndiye muhindi pekee aliye ndani ya hiyo top ten.
NitakuwekeaWeka hiyo list...
Basi ameshuka kiasi ila alikuwa watatu .