hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na WanawakeNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Unaleta UARUSHA kwenye mambo ya msingi ???...Mbona unakimbia swali weka hiyo misingi.Tufunge mjadala
Ngosha anaelewa hilo na ndio maana mwaka kauanza na "walk it off" tutegemee biashara zaidiLazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!
Tunazungumzia muziki hiyo ya kulelewa na wanawake atajijua mwenyewe.hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na Wanawake
kwani fid ana elimu kiasi gani na joh nae ikoje mkuuHivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
We funguka mm sina heshima yyte jukwaani hapa na fid sina undugu nae na wala hanijui.hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na Wanawake
Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?
Na ndio maana watu wa hip hop wanapambanishwa kwa freestyle au kuchana bila biti....Hapo ndo utajua tofauti ya Hip hop na Rap..Na hutawafananisha hawa wawili
tayari kumbe ww ni team joh kwa hiyo upande mmoja utauponda tu no matter what....!Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Hawana beef wanapishana kauli
Mbona unakimblia ukanda au ndio Hip Hop.I was just asking you a fundamental question dude.Unaleta UARUSHA kwenye mambo ya msingi ???...
hapa kuna ukweli fid anazingatia sifa za fasihiNi taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
Hahahahahah nimecheka sana eti kanasema fid analelewa... Tunaojua maisha ya Fid na demu wake alipo tukiona comments kama hizo tunazidi kuhesabu idadi ya washamba waliovamia mji.Huna unalolijua
Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.Mbona unakimblia ukanda au ndio Hip Hop.I was just asking you a fundamental question dude.
Nshaelewa hutaki kujifunza unataka kubishana na sababu ya kutaka kubishana nimeijua... Nazungumzia MUZIKI unazungumzia USHABIKI vitu viwil tofaut we never reach conclusion.Kwa hiyo John Makini anamiss nini hapa.
Don't bother about my profile read between the line what I spit.We can learn a lot for the benefit of whole community surrounding us.Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.
Umeamua kuleta UARUSHA Mzee.. Joh kakimbia misingi mfuate yyte anayejua muziki..ukiwa Tyr kujifunza kuhusu hiphop nfate PM Mzee... Usione noma... Nkisiza gere verse ya Joh, nusunusu, don bother ????@?@@*€*€+"/";" maruwe ruwe tuu bora nimsikize SONGA.Am I bothering you
Don't bother about my profile read between the line what I spit.We can learn a lot for the benefit of whole community surrounding us.
Don't bother about my profile. Read between the line in my script.We are here to learn.Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.