Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na Wanawake
 
Mbona unakimbia swali weka hiyo misingi.Tufunge mjadala
Unaleta UARUSHA kwenye mambo ya msingi ???...
 
Attachments

  • 1458824012247.jpg
    1458824012247.jpg
    19.3 KB · Views: 35
Lazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!
Ngosha anaelewa hilo na ndio maana mwaka kauanza na "walk it off" tutegemee biashara zaidi
 
hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na Wanawake
Tunazungumzia muziki hiyo ya kulelewa na wanawake atajijua mwenyewe.
 
Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
kwani fid ana elimu kiasi gani na joh nae ikoje mkuu
 
hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na Wanawake
We funguka mm sina heshima yyte jukwaani hapa na fid sina undugu nae na wala hanijui.
 
Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?

Mkuu unapoteza muda na hivi vitoto vya juzi kipimo chao cha mafanikio ni airtime ya xxl... Juzi vilikuwa vinasema stamina, darasa, nay, young kila, Roma, izo b nk ndio wakati wao fid kapitwa na wakati.. Leo hii bado wanamzungumzia fid q na washawasahau hao marapa wao kama bado wapo au lah.... Fid Q ndio best mc kwa sasa East Africa yote yuko pale kustay ndio maana wanaungana mtu na mdogo wake na washikaji bado wanaishia kutoa singo kila siku ila Fid yupo pale.
 
Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
hapa kuna ukweli fid anazingatia sifa za fasihi
 
Mbona unakimblia ukanda au ndio Hip Hop.I was just asking you a fundamental question dude.
Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.
 
Kwa hiyo John Makini anamiss nini hapa.
Nshaelewa hutaki kujifunza unataka kubishana na sababu ya kutaka kubishana nimeijua... Nazungumzia MUZIKI unazungumzia USHABIKI vitu viwil tofaut we never reach conclusion.
 
Am I bothering you
Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.
Don't bother about my profile read between the line what I spit.We can learn a lot for the benefit of whole community surrounding us.
 
NGOSHA the swagga don...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] iacheni hii jamaa...inatisha si levo za akina JOH banaaaa...JOH anawapagaisha kwa miterezo na si maana ya nini mashairi ya hip hop.
 
Hisia zangu zinaniambia pia yaelekea msomi mzuri wa vitabu vya kale
 
Am I bothering you
Don't bother about my profile read between the line what I spit.We can learn a lot for the benefit of whole community surrounding us.
Umeamua kuleta UARUSHA Mzee.. Joh kakimbia misingi mfuate yyte anayejua muziki..ukiwa Tyr kujifunza kuhusu hiphop nfate PM Mzee... Usione noma... Nkisiza gere verse ya Joh, nusunusu, don bother ????@?@@*€*€+"/";" maruwe ruwe tuu bora nimsikize SONGA.
 
Am I bothering you
Noo nliona qn yako imekaa kutaka kubishana nkasema nchek profile yako nkakutana na hayo nloyakuta Mzee nkaelewa kwann uliuliza vile... Acha hiyo mambo Mzee hiphop is all abt truth no nepotism in hiphop,in hip-hop White is White and black is black mtuwangu,no beef no ukanda we speak reality.
Don't bother about my profile. Read between the line in my script.We are here to learn.
 
Back
Top Bottom