ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
hata mimi nilikuwa na mengi ya kukufahamisha lakini kwa heshima yako hapa jukwaani naomba uendelee kuamini kuwa Fid Analelewa na WanawakeNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.