Bifu ya hawa wawili Arusha bado mbichi

Hizo tuzo kwanza ni za kimchongo. Wote waliopewa tuzo walitoa hela. Hapo chuga unawapaje hawa mama w Jana tuzo na kina mama towo kina Anita wapo, niliona eti Kuna category ya chakula kapewa mtu hata hajulikani, tuzo za uwongo hizo. Idea ni nzuri lakini utendaji ni mbaya. Fide jirekebishe
 
Watu wakiwa maarufu nyumbani kwako ndiyo unataka kutuaminisha kuwa ni maarufu Arusha nzimašŸ¤”
 
Insonesha vijana wa chuga hawajui kula mbususu kikwelikweli. Vinginevyo hao wamama wasingekuwa micharuko hivyo.
 
Sishangai kumuona mwijaku au baba levo kweny hizi fujo za kina mama....maisha yamebadilika sanaa..wanaume wananunua ugomv wa wanawake kisa pesa
 
Ngoja nirudi nyumbani maana naona kumenoga.

Yaani yale mambo ya kidashlam hata huko pia yameshika kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…