Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Kamwe hatuwezi kuacha kushambulia aliyekwishakufa. Inabidi tupaze sauti sana ili isije ikatokea tena katika nchi yetu akaingia kidudu mtu mwingine mwenye roho ya IBILISI kama Mwendazake. Tutadhibiti haya kwa katiba Mpya ya wananchi itakayovipa nguvu vyombo vyetu kama TISS, Mahakama na BUnge na Tume Huru ya Uchaguzi.

Laiti TISS ingekamilisha kazi yake vizuri naamini Magufuli asinge katiza kuwa mgombea Urais wa 2015. Wewe mwenyewe umesema alikuwa mgonjwa. Halafu asili yake ni Burundi kwa kuzaliwa ila mama yake aliolewa na msukuma. TISS walipaswa wayajue haya na kutoa jina lake
 
Tanzania ni taifa teule. Maombi ya watanzania yanajibiwa kwa haraka sana. Nchi zingine madikteta hukaa madarakani hata miaka 40 na hutolewa kwa maandamano au bunduki. Ila.kwa Tanzania miaka mitano tu na kaondolewa bila maandamano au vita. Maombi kuhusu vibaraka wa dikteta yanaendelewa kujibiwa, kibaraka mshenzi Sabaya tayari analipa maovu yake. Tukubaliane tu hii nchi ni teule.
 
HIlo la kuwa mrundi ni ubaguzi wa watu wa Chadema na wanaharakati wengine.

Kama TISS ingefanya kazi vyema ni Nyerere tu ambaye angekuwa Rais halali.

Hizi siasa za katiba mpya ni visingizio tu vya kwanini bado hatujapiga hatua kubwa kiuchumi. Watu ni wale wale tu katiba mpya haitaondoa upigaji wa miaka yote.

Haitabadili hulka zetu za kufuga uvivu.

JPM alifanya alichoweza na apumzike kwa amani.
 
A big NO to you. Ulimwengu is right. We refer to history in modelling a better future. JPM's covid-19 mismanagement philosophy is a historical benchmark to refer in the bid to combat the pandemic.
Sio kila anachosema mzungu basi tukinyenyekee kama hatuna akili zetu wenyewe.
Hayati alikataa lockdown na wazungu wamekiri kuwa imechangia kuongeza vifo kwani immunity ilishuka miongoni mwa watu.

Na kuna masuala ya kiuchumi, shughuli zingelala na ingekuwa worse.

Mzee Ulimwengu anatembea mule mule wanakotaka wazungu kusikia, huyo ni mwanaharakati mzoefu anajua jinsi ya kuitumia media kuweka sawa masuala yake.
 
Sioni hata hii mibweko inatoka wapi zaidi naona wapigaji wameongezeka
 
👍 👍
 
Tumsamehe tu huyu ndugu yetu nadhani lugha haikua rafiki sana kwake
 
JPM amesababisha vifo vingi sana kwa sera zake mbovu, mfano bomoabomoa hata pale mahakama imekataa. JPM alijiona yuko juu ya Katiba, kwa kuivunja mara nyingi. Mfano, kuvifungia vyama vya siasa vya upinzani kufanya kazi zake halali.

JPM alijisema anapambana na rushwa, lakini alikuwa mtoa rushwa wa viwango vya juu, mfano kuwarubuni wapinzani kwa rushwa ya fedha au vyeo.

JPM alijiona yuko juu hata ya Maaskofu, kwa kuwakemea, tena akiwa kwenye mimbari kanisani, kwamba wanavaa Barakoa. Mentality ya kichawi kabisa.

Uko huru kumtetea. Mnafanana hulka.

Ila Ulimwengu kamwandika sawa kabisa kama alivyokuwa Magu enzi zake.
 
Kuna Watanzania wengi sana wale wanaosumbuliwa na ugonjwa wa Acquired Stupidity hawajui maana na maneno Shujaa na Mzalendo.
Watu mna masihara, jiwe ni shujaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jiwe sikumpenda lakini alikua kuna muda ni bora kuliko huyu jumong ambaye hotuba zake hazieleweki, na kila muda anahisi unyonge kutokana na jinsia yake.
 
Dikteta marehemu lazima ashambuliwe kila uchao, aliwasibu watu wengi kwa utawala wake wa mkono wa Chuma,

Alitoa amri lissu auliwe na mwili wake usiagwe ukazikwe haraka kijijini kwao ,
Jpm tutamshambulia kila uchwao atakumbukwa kwa ukandamizaji wa demokrasia mauaji ya wakosoaji wake damu ya ben sanane damu ya tundu kagunye na list ndefu hawez kupumzika kirahis hvyo
 
Kajifunze kwanza kuandika
 

Niliwahi sema, na nitaendelea kusema.
Wanaotaka kumuua Magufuli hawatafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…