Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Umesoma kweli na kuelewa?Unatia aibu kumbe kiazi hvyo
 
Unaongelea upigaji kwani kuna Rais amewahi kutokea akaiba kumzidi Magufuli? Tsh 2.4 Trilion kwa miaka 3
 
Wengine wengi waliokufa kwa hivyo virusi hawakuwa na matatizo yoyote ya moyo na hawakuwa tayari kwa lolote. Walipenda kuishi muda mrefu zaidi na wengi wao wangeishi muda mrefu zaidi kama sayansi ingezingatiwa na wenye mamlaka wangetimiza wajibu wao.
 
India iliyokuwa ndio tegemeo la matibabu ya mawaziri wetu imezika wagonjwa mpaka kuni zimeisha. Sisi ni Kina nani tujifanye tunaijua sana sayansi!.

Uoga unaua mapema kuliko hizo lockdowns.
 
Anajulikana kushambulia uongoz unaokua ikulu well.. but c anashambulia kwa hoja? Tatizo liko wap??
 
Hii ni nyundo nzito kichwani 🀣🀣🀣
 
Dikteta marehemu lazima ashambuliwe kila uchao, aliwasibu watu wengi kwa utawala wake wa mkono wa Chuma,

Alitoa amri lissu auliwe na mwili wake usiagwe ukazikwe haraka kijijini kwao ,
Aisee πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Anaiharibu nchi kivipi?! Kwa kusema ukweli?
Wewe huoni baada ya kifo cha Jiwe Corona imeanza kushughulikiwa kitalaam badala ya approach ya kisiasa ya hapo awali kufeli
 
Thanks Kiranga. When you are curt member you do not see even the obvious. Tatizo sana.
 
Mwendazake lazima tumseme. Kama Hitler na Iddi Amin bado wanasemwa iweje Magufuli asisemwe? Tutamsema sana na wakati huo huo tukimshukuru Mungu kwa wema aliotufanyia March 17, 2021.
 
Acha kuwashwa washwa kwenye jicho weye mwache mwenda zake avune alichopanda kwanza
 
Anaiharibu nchi kivipi?! Kwa kusema ukweli?
Wewe huoni baada ya kifo cha Jiwe Corona imeanza kushughulikiwa kitalaam badala ya approach ya kisiasa ya hapo awali kufeli
Inashughulikiwa wapi? Juzi nimeingia ofisi moja ya Serikali Jijini Mwanza, kwenye mlango wameandika "USIINGIE BILA KUVAA BARAKOA" halafu ndani wateja na wafanyakazi hakuna aliyevaa barakoa! Ndio kuishughulikia Corona kitaalamu? Ahahahahahahah!!!
 
Baba wa watu si alishakufa jamani.?? Muacheni apumzike.
ukisikia kitete,mhaho,kihoro na kuweweseka ndio hii.

tukisema magufuli bado yuko vichwani mwao hawataki,ajabu ndio wanaendelea kumuongelea miaka 10 zaidi wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…