zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mkuu jibu swali mbona ni rahisi tu, wapi sabato ni jumamosi au mlijitungia wenyewe tu??unasema โWapi wamesema ni Jumamosi?โ Haya angalia Biblia yenyewe inavyosema:
๐ Luka 23:54โ56:
โNa siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na Sabato ikaanza kuangaza. Wakamrudishia mwili wa Yesu, wakarudi, wakatengeneza manukato na marhamu; na siku ya Sabato walistarehe sawasawa na ile amri.โ
๐ Luka 24:1:
โHata siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, walikwenda kaburiniโฆโ
Na sisi wote tunajua siku ya kwanza ya juma ni Jumapili (ninyi wenyewe FPTC mnasheherekea Easter Jumapili kwa sababu ya ufufuo,sijui Nan kawaambia hili๐๐๐)
Kwa hiyo Sabato ipo wazi = siku ya saba = Jumamosi.
Kama Biblia inasema Siku ya kwanza ya juma = Nyie FPTC mnasherekea Easter kila jumapili eti ufufuko wa Yesu ,, basi siku ya saba ni lini? ๐ukijibu nakupa Laki 3
FPTC mnasheherekea Jumapili kama siku ya ufufuo hiyo ni kweli??bisaha kama kweli unajiweza, lakini Biblia haijasema badilisheni Sabato muifanye Jumapili. Hii ni mapokeo ya wanadamu.
Hata Yesu mwenyewe alikufa Ijumaa (siku ya maandalio), akalala kaburini Jumamosi (Sabato), na akafufuka Jumapili (siku ya kwanza ya juma). Sasa kama hiyo si ushahidi wa moja kwa moja, unataka andiko gani tena?
Mie sijawahi fungua thread ya kubishania sabato mie huwa najadili mada zenye utata zaidi sio petty issues.Thread zako, halafu Mimi ndio nizifiche?๐๐ Mbona unachanganyikiwa mapema hivo?
๐๐๐๐๐๐Mkuu jibu swali mbona ni rahisi tu, wapi sabato ni jumamosi au mlijitungia wenyewe tu??
Punguza maelezo marefu na toa tu specific answer kuwa ni biblia au ni nyie wafuasi wa Hellen ndio mlichagua.
Nina mada nyingi sana kuhusu Easter ,Easter sio pasaka acha UPOTOSHAJIMie sijawahi fungua thread ya kubishania sabato mie huwa najadili mada zenye utata zaidi sio petty issues.
Ila thread zako za kukejeli pasaka na krismasi ndio umezilock. Nlitaka nikazifufue kama hujakimbia JF.
Ulimkana mpaka Ellen White sio msabato
Wapi jumapili ni siku ya kwanza ya wiki wakati literally inaitwa JUMAPILI. Ila akili za wasabato BwanaSasa swali
Kama Jumapili ni siku ya kwanza ya juma na Sabato ni siku ya saba, basi siku ya saba ni lini?
Umekuja vzr,Wapi jumapili ni siku ya kwanza ya wiki wakati literally inaitwa JUMAPILI. Ila akili za wasabato Bwana
FPTC mnasherekea Easter lini?Wapi jumapili ni siku ya kwanza ya wiki wakati literally inaitwa JUMAPILI. Ila akili za wasabato Bwana
Nani kasema jumapili ni siku ya kwanza unajua acheni assumptions za kitoto. Hakuna mahali Biblia inasema Yesu alifufuka jumapili sijui unatoa wapi hiyo assumption.โKama Biblia inasema Yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma (Jumapili), basi siku ya saba ni lini?โ
Wewe ndiye unajiita think tank wa FPTC?Nani kasema jumapili ni siku ya kwanza unajua acheni assumptions za kitoto. Hakuna mahali Biblia inasema Yesu alifufuka jumapili sijui unatoa wapi hiyo assumption.