Big up kwa member hamis77 kwa michango yenye facts na mantic

Status
Not open for further replies.
Unaona sasa akili yako ilivyo ndogo ,nikisema uelewa wako mdogo nitakuwa nimekosea ?

Huu unafiki ndio maana mnadhalilisha Ukristo kwa utapeli wenu

Zaka na sadaka mnatumia agano la kale ,

Issue nyingine mnadanaganya watu hamlitumii

Kajifunze Moral law,Sheria za Musa, Sheria za Mungu za milele ,kajifunze Amri,Sheria na MAAGIZO

NARUDIA Tena acha porojo ,tafuta mada niite ,mm nipo full muda wowote ,
Jibu swali kama sabato ni muhimu sana vipi kupiga mawe wazinzi unaonaje nayo tukaishike. Au mnazozipenda ndio zifuatwe pekee ila mnaogopa kupigwa mawe mkizini!!?

Mungu hafungwi na siku wala majira kwamba jumamosi tu ndio anapatikana!! Mna shida ya akili nyie watu!! Mko kimwili sana wakati mambo ya rohoni hutafsirika rohoni.
 
Fungua profile yako nifukue comments za ule uzi. Hadi ulimkana Ellen White hakua msabato in such na kwamba mafundisho yake hayakuhusu.

Fungua profile kama hujaikana na hii ID mpya
Acha porojo ,nimeshakwambia anzisha mada niite ,muda wakubishana na kilaza hapa Sina ,

Sijui nilimkana ,sijui hivi sijui vile ,

Nimeshakwambia anzisha mada niite ,kama hujanichukia maisha yote
 
Jibu swali kama sabato ni muhimu sana vipi kupiga mawe wazinzi unaonaje nayo tukaishike. Au mnazozipenda ndio zifuatwe pekee ila mnaogopa kupigwa mawe mkizini!!?

Mungu hafungwi na siku wala majira kwamba jumamosi tu ndio anapatikana!! Mna shida ya akili nyie watu!! Mko kimwili sana wakati mambo ya rohoni hutafsirika rohoni.
Anzisha hiyo mada ,ni wazi inaonesha akili yako kwenye maandiko ilivyo finyu ,

Ndio unataka mjadala na mimi ?

Siku Haina umuhimu ,hapo hapo kila jumapili unakaa mbele kupokea mafuta na keki

Kwakuwa uwezo mdogo wakufikiri basi unajipiga risasi mguuni ,

Wewe unasema Mungu hafungwi na siku wala majira, basi mbona FPCT mmeweka Jumapili tu ndiyo siku yenu ya ibada rasmi? 😂😂Au umehama siku hizi ,

Kama kweli Mungu yupo siku zote, kwa nini msikusanyike Jumatatu au Jumatano? Hebu niambie unamfuata nani aliyeanzisha Jumapili kuwa siku ya ibada, Yesu, mitume au wanadamu?

Kwanza usichanganye mambo. Kuna sheria za Mungu za milele, zile Amri Kumi ambazo ni msingi wa maadili na utakatifu. Ndani yake kuna Amri ya Sabato

“Ikumbuke siku ya Sabato uitakase” (Kutoka 20:8-11).

Hizi ndizo za milele.

Lakini kuna sheria za taifa la Israeli walizopewa kwa muda, kama adhabu za kupiga mawe wazinzi. Hizo zilikuwa civil laws za taifa na kivuli cha kufundisha.

Hazina uhusiano na Amri Kumi ambazo ziko juu ya taifa lolote.

Yesu mwenyewe alishika Sabato: “Akaingia sinagogini siku ya Sabato kama desturi yake...” (Luka 4:16). ,Wewe unamfata nani?😂😂halafu unataka mjadala na mimi kweli?

Mitume nao waliendelea kushika Sabato baada ya Yesu kufufuka:

“Paulo na Barnaba wakaingia sinagogi siku ya Sabato...” (Matendo 13:14, 42, 44; 16:13).

Hata kwa watu wa mataifa waliwafundisha siku ya Sabato.

Na kumbuka hata mbinguni Sabato haijaondoka:

“Na itakuwa, mwezi mpya kwa mwezi mpya, na Sabato kwa Sabato, wote wenye mwili watakuja kusujudu mbele zangu, asema Bwana” (Isaya 66:23).

Sabato ni ya milele kutoka Edeni hadi mbinguni.

Yesu alisema wazi:

“Msidhani nimekuja kuvunja sheria... Bali mtu yeyote akivunja hata amri ndogo kuliko zote, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo katika ufalme wa mbinguni...” (Mathayo 5:17-19).Huko makanisani mnakula keki na kunyweshwa mafuta tu ,hawawafundishi hivi vitu?

Na Yohana anasema

“Hapa ndipo penye saburi ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu” (Ufunuo 14:12).

Kwa hiyo tusipotoshe. Sabato ni amri ya Mungu, siyo ya Musa. Sheria za taifa za Musa ndizo zilikuwa na vifungu vya kupiga mawe, lakini Amri za Mungu hazina mwisho. Ndiyo maana hata mbinguni tutashika Sabato.

Sasa kama unasema Mungu hafungwi na siku, kwa nini muongozo wa FPCT umefungwa kwenye Jumapili pekee? 😂

Hapo ndipo unatakiwa ujiulize unafuata Biblia au mapokeo ya wanadamu waliobadilisha Sabato?

Mimi nimemaliza ,Sina muda wakujibishana na wewe nikujishushia heshima ,
 
Hapo naona unapiga chenga ya mwili kukwepa baadhi ya mambo bila hoja za msingi
 
Fungua profile yako nifukue comments za ule uzi. Hadi ulimkana Ellen White hakua msabato in such na kwamba mafundisho yake hayakuhusu.

Fungua profile kama hujaikana na hii ID mpya
Kumbe kelele zote jamaa ni mfuasi wa Ellen White, kanisa la 1800s"??? na bado anaikana ID yake ya zamani, acha wamtifue kwanza akimbie 😀😀
 
Hoja ni ipi ,ingia ulingoni hata wewe
Ww ulijuaje hizi amri zinawahasu wote na hizi haziwahusu?

Hapa nataka elimu stak kubishana

Pia niwekee amri na sheria za agano la kale ambazo nyinyi leo haziwahusu namaanisha zote

Andika Kwa summary acha maelezo mengi nataka iwe Specific
 
Bora wewe umekuja vzr,

Hizi amri, sheria na masharti ya Agano la Kale si zote zinawahusu watu leo. Biblia yenyewe inatofautisha, kwa kutokujua kutofautisha haya maandiko hasa matapeli wakidini wamekuwa wanapotosha sana .

Amri za Mungu ni za milele (Ten Commandments / Amri 10) ni za kimaadili na takatifu., Ukitaka kujua hilo, Sura nzima ya Zaburi 119 inazielezea .

Zinaashiria tabia za milele: upendo kwa Mungu na jirani (Kutoka 20:1-17).

Ndio hizo tunaita Amri kumi ,

Kuna amri za vyakula hizi zinaendelea Hadi kesho ,maana zinahusu mwili ambao ni hekalu la roho mtakatifu, matapeli wao wakapindisha wale kila kitu

Naishia hapo Nasubiri maswali
 
Kwahyo mkuu mdudu uli?

Je adhabu kwa wazinzi, wezi n.k hizo vipi?
 
Ndio simli,

Adhabu kwa wezi, wazinzi hizo zilikuwa Sheria za Musa ,

Ndio maana wayahudi walimtega Yesu ili wasema hafati Torati ,akawapiga vzr sana

Alisema asiye na dhambi ampige mawe

Kwahiyo hiyo Sheria ipo,ila Sharti mpigaji awe msafi ,ndio kimbembe kinaanza hapo
 
Sawa hapo nakuelewa mkuu
 
Sawa hapo nakuelewa mkuu
Sasa huyo ndugu ni mlokole anasema kwanini simpigi mwizi mawe ,anasema agano la kale halina kazi, cha ajabu ndio wanalitumia sana kutapelia watu pesa ,

Sadaka za kujimaliza,sadaka za malimbuko, sijui Zaka, n.k hazipo agano jipya ,ila kwenye pesa wanatumia agano la kale kutafuta uhalali ,kwenye mambo mengine wanasema limepitwa na wakati
 
Wewe unasema Mungu hafungwi na siku wala majira, basi mbona FPCT mmeweka Jumapili tu ndiyo siku yenu ya ibada rasmi? 😂😂Au umehama siku hizi ,
Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!
“Ikumbuke siku ya Sabato uitakase” (Kutoka 20:8-11).

Hizi ndizo za milele.
Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.
 
Fungua profile yako na ile ya Aaron Arsenal unaogopa nini hahahahah.

Fungua kwanza hata kwa dakika 5 tu nifukue zile mada kama hujakimbia JF humu
Kweli umeishiwa hoja ,Nina AKAUNT moja tu hii since 2013

Narudia kwa mara ya mwisho kama unataka mada na Mimi ,anzisha uniite kama hujanichukia Tena
 
Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!

Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.
Akili za Walokole ndio hizi, anasherekea Easter paganism anakwambia Yesu kafufuka jumapili,anasahau maandiko yanasema ni siku ya kwanza ya juma 😂😂😂

Halafu kuwa na ibada kila siku si tatizo. Hata Wayahudi walikuwa na siku nyingi za maombi na mikusanyiko (angalia Walawi 23, kulikuwa na sikukuu na ibada zingine mbali na Sabato). Lakini Sabato ya siku ya saba (Jumamosi) ndiyo Amri ya Mungu iliyowekwa toka Edeni na kuandikwa kwa vidole vya Mungu kwenye mbao za mawe (Kutoka 20:8–11).

Luka 4:16 Yesu mwenyewe aliingia sinagogi siku ya Sabato (ambayo ni Jumamosi) kwa desturi yake. Hii siyo siku nyingine ila siku ya saba.

FPTC muongozo wao unakiri wazi kuwa Jumapili ndiyo siku maalumu ya ibada.,au unadhani hatujui?😂😂

Swali langu kwako: Ni andiko lipi katika Biblia linabadilisha Sabato ya siku ya saba (Jumamosi) kuwa Jumapili?

Ukitazama Mathayo 28:1, Biblia yenyewe inasema “Baada ya Sabato, ikipambazuka alfajiri ya siku ya kwanza ya juma (Jumapili)”. Hapa Biblia inatofautisha wazi: Sabato ni Jumamosi, na siku inayofuata ndiyo Jumapili.

Hata Wayahudi mpaka leo bado wanashika Jumamosi kama Sabato kwa sababu hawana andiko lolote linalowaruhusu kuibadilisha.

Ukisema Sabato siyo Jumamosi, unapingana na historia, na unapingana na Yesu mwenyewe aliyeshika Sabato hiyo hiyo.
 
Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!

Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.
unasema “Wapi wamesema ni Jumamosi?” Haya angalia Biblia yenyewe inavyosema:

📖 Luka 23:54–56:
“Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na Sabato ikaanza kuangaza. Wakamrudishia mwili wa Yesu, wakarudi, wakatengeneza manukato na marhamu; na siku ya Sabato walistarehe sawasawa na ile amri.”

📖 Luka 24:1:
“Hata siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, walikwenda kaburini…”

Na sisi wote tunajua siku ya kwanza ya juma ni Jumapili (ninyi wenyewe FPTC mnasheherekea Easter Jumapili kwa sababu ya ufufuo,sijui Nan kawaambia hili😂😂😂)

Kwa hiyo Sabato ipo wazi = siku ya saba = Jumamosi.

Kama Biblia inasema Siku ya kwanza ya juma = Nyie FPTC mnasherekea Easter kila jumapili eti ufufuko wa Yesu ,, basi siku ya saba ni lini? 😂ukijibu nakupa Laki 3

FPTC mnasheherekea Jumapili kama siku ya ufufuo hiyo ni kweli??bisaha kama kweli unajiweza, lakini Biblia haijasema badilisheni Sabato muifanye Jumapili. Hii ni mapokeo ya wanadamu.

Hata Yesu mwenyewe alikufa Ijumaa (siku ya maandalio), akalala kaburini Jumamosi (Sabato), na akafufuka Jumapili (siku ya kwanza ya juma). Sasa kama hiyo si ushahidi wa moja kwa moja, unataka andiko gani tena?
 
Kweli umeishiwa hoja ,Nina AKAUNT moja tu hii since 2013

Narudia kwa mara ya mwisho kama unataka mada na Mimi ,anzisha uniite kama hujanichukia Tena
Hahahhahaa Aaron bwana, embu fungua profile basi kwa dakika 5 tu alafu ufunge hahahahhaa.

Kama unajiamini unaifunga ya nini!! Kuwa mwanaume acha cowardice.

Thread zangu zote ziko wazi, wewe umezificha kwa kuogopa nini?

Nashindwa kuelewa mwanaume unakuaje muoga kwa hoja ulizoweka mwenyewe.
 
Thread zako, halafu Mimi ndio nizifiche?😂😂 Mbona unachanganyikiwa mapema hivo?

Mimi nakukaanga hapa hapa 👇 👇

FPTC wanatumia vitabu vya mafundisho vinavyosema wanasherehekea Easter kama ufufuko wa Yesu.

Hata hivyo, Biblia yenyewe inasema wazi

Luka 24:1
“Hata siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, walikwenda kaburini…”

👉 Hapa Biblia inathibitisha kuwa ufufuko wa Yesu ulikuwa Jumapili, yaani siku ya kwanza ya juma.

Sabato ni siku ya saba ya juma, yaani Jumamosi.

Sasa swali
Kama Jumapili ni siku ya kwanza ya juma na Sabato ni siku ya saba, basi siku ya saba ni lini?

UKIJIBU NAKUPA LAKI MOJA NA NUSU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom