Big up kwa member hamis77 kwa michango yenye facts na mantic

Big up kwa member hamis77 kwa michango yenye facts na mantic

Status
Not open for further replies.
wangatala gTurn

Tafuteni hiki kitabu msome na nina wahakikishia hamtabaki kuwa magaidi au matepeli wa kiimani
Screenshot_20250828-120030~2.jpg
 
Lini utaacha chuki na Mimi? Why ukishindwa hoja unakimbilia kusema sijui kitu ?
Nikuchukie kwa lipi hasa ulilonalo we msabato, tatizo unajikutaga mjuaji sana.

Hata jukwaa la arsenal tu ulikua unanibishia kila kitu ila muda umekua mwalimu mzuri hadi ukaitelekeza ID yako ya awali!!

Na hakuna mahala nimekuuliza wewe swali, nmeuliza hao washabiki wako je kama wanakubaliana unajua sana maandiko vipi wanakubaliana kuwa pasaka na kusali jumapili and Christmas ni haramu?
 
Wakristo wengi hawajui dini yao wao wakishasomewa mstari wa amani na wa sadaka kwisha ibada na kurudi makwao tofauti na Waislamu ambao wanasoma dini yao na kujadili kwa hoja
 
Nikuchukie kwa lipi hasa ulilonalo we msabato, tatizo unajikutaga mjuaji sana.

Hata jukwaa la arsenal tu ulikua unanibishia kila kitu ila muda umekua mwalimu mzuri hadi ukaitelekeza ID yako ya awali!!

Na hakuna mahala nimekuuliza wewe swali, nmeuliza hao washabiki wako je kama wanakubaliana unajua sana maandiko vipi wanakubaliana kuwa pasaka na kusali jumapili and Christmas ni haramu?
Huna ujualo ,Mimi na wewe na mbishi na hajui kitu, Nina ID moja ,badala ujibu hoja unanishambulia Mimi,sijawahi kuona mlokole asiyejua kitu kama wewe ,imebaki tu ukiniona mara msabato, mara hivi mara vile ,

Hata huko jukwaa la arsenal hukuwa na hoja na zaidi mwisho uliabika tu, ID yangu ni hii hii na ulibaki kulialia tu, ,basi mpaka kesho umejaza chuki ,kila ukiniona unaona moto tu,

umenikumbusha ulimlilia sana Felix ,mara Kai HAIFAI, mara hivi mara vile ,unaaibika tu, dah, sijui yupo wapi, kila sehemu ulinishindwa ,mwisho imebaki kunishambulia tu, 😂😂

NIshawahi kukubananisha kuhusu hiyo mada yako ya jumapili ukabaki na chuki,nikakuletea ushahidi toka wa kanisa la awali ,ukabaki unalialia , jukwaa la Arsenal hivo hivo, hujawahi kufaulu chochote ,

Wewe kama unajiweza rudisha hiyo mada kama hujanichukia mara dufu, Tena sasa hivi usijaribu kabisa

Nakushauri acha porojo ,weka mada niite twende kazi

Maana hujui kuwa Ukristo wa awali, ikiwa ni pamoja na Ukristo wa Ethiopia, uliendelea kuenzi Sabato kama siku ya ibada na mapumziko, huku waumini pia wakikusanyika Jumapili kuadhimisha ufufuo wa Yesu.baadae kwa agizo kutoka Roma,

Mababa wa Kanisa walisisitiza heshima kwa Sabato;

Tertullian alisema, “The observance of the Sabbath is fitting, not to be forsaken”,

na Justin Martyr aliandika, “We celebrate the Sabbath with joy, but also assemble on the day of the Lord, the day of Jesus’ resurrection.”

Hii inaonyesha wazi kwamba Sabato haikuachwa, bali Jumapili ilibadilishwa kuwa siku kuu ya Kikristo kwa heshima ya ufufuo wa Kristo(walijitungia wenyewe).

Kanisa la Ethiopia pia liliadhimisha Sabato, kama inavyoonyeshwa katika maandiko ya Abba Garima.,Sijui hata kama unayajua maandiko hayo .

Kuhusiana na Pasaka, Wakristo akiwepo Yesu waliashimisha Passover , siyo Easter, ambayo ni jina lililotengenezwa kutoka kwa mila za upagani za Kirumi.

KWAHIYO KAMA UNAJIWEZA ACHA POROJO ,WEWE SI MLOKOLE WA FPCT ,NJOO UJENGE HOJA KWA HOJA
 
Wakristo wengi hawajui dini yao wao wakishasomewa mstari wa amani na wa sadaka kwisha ibada na kurudi makwao tofauti na Waislamu ambao wanasoma dini yao na kujadili kwa hoja
Waislamu Hawa wasio na elimu wanajua hoja gani?

Waislamu Hawa wanaodanganywa na MASHEIKH ubwabwa?
 
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Hakika huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
Hapa hawawez kujibu
 
Imam anayepingwa na kutukanwa sana hapa Tanzania

Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa mujibu wake ni kwamba masuni wana majanga mengi zaidi kuliko mashia.

Video yake juu uchambuzi wa Quran 2:223 alijengea hoja kwa vitabu vya kisuni, hakika wapinzani wake waliishia kutusi tu.

Washia wanachangamoto zao ila ni moja la dhehebu la kislamu ambalo ni wasomi sana na watu wasiokurupuka. Na huwezi kusikia shia kajitoa muhanga.

Nitakuja kuelezea makundi yao katika zama za kati, yalikuwa ni moto. Moja ya kundi lao ndio waling'oa jiwe la Alkaaba pale Maka na kulihamisha kwa miaka 23.

FB_IMG_1754823875655.jpg
 
Waislamu Hawa wasio na elimu wanajua hoja gani?

Waislamu Hawa wanaodanganywa na MASHEIKH ubwabwa?
Mtabaki kuwadanganya hao na masheikh ubwabwa ila sio mfano wa mimi wanoijua manhaji ssallafiy
 
Ilinichukua zaidi ya Miaka ishirini kujua kwamba kuna maandiko na sauti iliyoko ndani ya maandiko.

Ni rahisi mno kusoma biblia,ni kitabu Cha kawaida kikisomwa kwa mtazamo wa kawaida na kitakuongoza kujitengenezea logics lukuki tu.


Anyway,ukiwa ni mkristo usiishie tu kuchukua biblia na kusoma maandiko na maandiko kama yalivyo.jaribu(kama utaweza) kusikiliza sauti ya mungu iliyoko ndani ya Kila neno la mungu ndani ya biblia na utashangaa sana.usiishie kusoma tu sikiliza sauti ya Kila andiko na Kila neno.
 
😂
gTurn jibu hoja acha kutapa tapa utafikiri umeoona nguruwe
😂
Hakuna hoja hapo ya kujibu zote hizo ni hadithi za masimulizi Sasa ntajibu nini? Hadith zimeanza kuungwa miaka mi200 kuanzia Mtume aondoke Sasa hapo contradiction ni nyingi mno walio taka kuharibu dini walishindwa kugusa masahaf wakaona sehemu ya kuingilia ni hadithi. Leta hoja au hadithi yenye support ya aya hapo ndio tupambane vizuri lakini ukija hivi hivi na mimi nakuacha hivyo hivyo
 
Hakuna hoja hapo ya kujibu zote hizo ni hadithi za masimulizi Sasa ntajibu nini? Hadith zimeanza kuungwa miaka mi200 kuanzia Mtume aondoke Sasa hapo contradiction ni nyingi mno walio taka kuharibu dini walishindwa kugusa masahaf wakaona sehemu ya kuingilia ni hadithi. Leta hoja au hadithi yenye support ya aya hapo ndio tupambane vizuri lakini ukija hivi hivi na mimi nakuacha hivyo hivyo
Kumbe na wewe ni wale mnaokataa Hadith?

Mwaka huu kila muislamu hataki maswala ya Hadith
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom