Acha utoto ulikua unajiita Aaron au unadhani sikujui? Kuna thread humu ya pasaka na krismas ilifika comment 1k humo unabisha tu kuwa pasak, Christmas na jumapili ni za wapagani nikakuuliza vipi jumamosi inaitwa Saturday sababu ya mungu Saturn ukashindwa kujibu mpaka kesho.
Wewe ndio ulikimbia na ndio ukaikana ID ya
Aaron Arsenal. Na ulikua unadai hakuna haja ya squad depth, sijui Saka hawezi kuumia lazima acheze game 70, na kwamba tutashinda ligi hatuhitaji 23 man squad. Na yote hayo yalikuja kufeli saka aliumia, ligi tulikosa na squad depth ilitucost, nkasema LB lazima anunuliwe ukaleta ujuaji na since then wamesajiliwa LB zaidi ya 3!! So basically hakuna unachojua kwenye lolote lile ni small mind unaoshabikiwa na wajinga.
Ona sasa, ulisema Mudryk is better signing than Felix sasa kwa akili zako mudryk yuko wapi? A lot of nonsense. Of course Havertz is a flop ndio maana wamesajili kina Eze, Gyok etc maana yule sio finisher na hana namba tena pale. So once again you failed.
Mbona niliku quote sana mwisho wa msimu ukakimbia jukwaa mazima ukaja kurudi baada ya usajili. Stop being a coward we ni mwanaume ukishindwa kiri sio unakimbia hadi ID kisa umeumbuka.