YanaogopeshaEeeeh, yajayo hayaeleweki
Mpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi 🚮 zenu.Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe
Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.
Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.
Sasa huyu mwamba toka urundi ni mgonjwa wa hepatitis C ugonjwa hatari kuliko ukimwi, hauponi na hauna dawa hivi viwanja vyetu havina hata ambulance,
Mungu apishilie mbali.
Taarifa za ugonjwa wake zimejaa mitandao kadhaa ya England unaweza kujiridhisha kugoogle kabla ya kutoa povu.
Acha uzwazwa we unaleta siasa kwenye ishu seriaz ww na waandishi wa England nani ana akili,au wanaopima wachezaji unaona hawana akili stupidNdo nishakueleza mkuu, sio kila kitu kinachokujia kinywani ni lazima ukitoe kwa umma
Sisi binadamu sio wa kutamkiana maradhi hata kidogo
kamfanyieni medical checkup ndugu zangu mrundi wenu. heeee mbona maksiriko?Mpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi 🚮 zenu.
Mpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi [emoji706] zenu.
Jana huu upumbavu wenu umefutwa, Leo umeleta tena. Mkipigwa Ban mnarudi kwa ID mpya wapuuzi wakubwa nyie. Ulipo unaishi kwa vidonge v3 kila siku maisha yako yote halafu unakujeli mwenzio?
Huo ugonjwa hauruhusu mtu kuingia uwanjani ?Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe
Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.
Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.
Sasa huyu mwamba toka urundi ni mgonjwa wa hepatitis C ugonjwa hatari kuliko ukimwi, hauponi na hauna dawa hivi viwanja vyetu havina hata ambulance,
Mungu apishilie mbali.
Taarifa za ugonjwa wake zimejaa mitandao kadhaa ya England unaweza kujiridhisha kugoogle kabla ya kutoa povu.
Makolo wanateseka sana,mwaka huu watatapika mpaka nyongoMpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi [emoji706] zenu.
Tumia simu yako vizuri kutafuta ukweli sio kuingia Jf tuTupe ushahidi,ndiyo maana amekwambia unamwombea ugonjwa. Afu umekuja na povu la kifafa cha mimba
jikite kwEnye hoja maksiriko yako mPelekee kocha wa rangers aliyegombana na newcastle kwa kuwapelekea mgonjwa wa hepatsis c akamrudisha alipotoka nao kwa hasira wakamuweka newcastle B baadye akaenda zake ligi ya ndondo non league club iitwayo solihul moors na kufanya kazi kiwandani ili kujikimuMlishawahi kutangaza kuwa Lowasa atakufa ofisini ni mgonjwa sana lakini ikawa mazing-zong mpaka sasa hamjaamini.