Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe

Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.

Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.

Sasa huyu mwamba toka urundi ni mgonjwa wa hepatitis C ugonjwa hatari kuliko ukimwi, hauponi na hauna dawa hivi viwanja vyetu havina hata ambulance,

Mungu apishilie mbali.

Taarifa za ugonjwa wake zimejaa mitandao kadhaa ya England unaweza kujiridhisha kugoogle kabla ya kutoa povu.
 
Mpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi 🚮 zenu.
 
Ndo nishakueleza mkuu, sio kila kitu kinachokujia kinywani ni lazima ukitoe kwa umma

Sisi binadamu sio wa kutamkiana maradhi hata kidogo
Acha uzwazwa we unaleta siasa kwenye ishu seriaz ww na waandishi wa England nani ana akili,au wanaopima wachezaji unaona hawana akili stupid
 
iniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.JPG
 
Mpelekeni hospitali basi, badala ya kuendelea kutuchosha humu jukwaani na hizi [emoji706] zenu.

Hakuna cha [emoji706]huyo jamaa anaumwa, hii habari iliandikwa na jarida maarufu la michezo la Mirror tokea mwaka 2015, kasome zaidi hapa!

IMG_3333.jpg

IMG_3332.jpg
 
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe

Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.

Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.

Sasa huyu mwamba toka urundi ni mgonjwa wa hepatitis C ugonjwa hatari kuliko ukimwi, hauponi na hauna dawa hivi viwanja vyetu havina hata ambulance,

Mungu apishilie mbali.

Taarifa za ugonjwa wake zimejaa mitandao kadhaa ya England unaweza kujiridhisha kugoogle kabla ya kutoa povu.
Huo ugonjwa hauruhusu mtu kuingia uwanjani ?
 
Mlishawahi kutangaza kuwa Lowasa atakufa ofisini ni mgonjwa sana lakini ikawa mazing-zong mpaka sasa hamjaamini.
jikite kwEnye hoja maksiriko yako mPelekee kocha wa rangers aliyegombana na newcastle kwa kuwapelekea mgonjwa wa hepatsis c akamrudisha alipotoka nao kwa hasira wakamuweka newcastle B baadye akaenda zake ligi ya ndondo non league club iitwayo solihul moors na kufanya kazi kiwandani ili kujikimu
 
Back
Top Bottom