Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

Punguza kuwashwa, vp Okwa, na Akpan mlinunua eBay au Amazon?
 
Si alisema ameacha kujiunga na Real madrid akaja jangwani timu ya ndoto yake,
Nilishangaa mchezaji wa epl anaongea kiswahili cha tandale nikajua hapa kazi ipo
Wewe Mbumbumbu amka usingizini Divock Origi, Saido Berahino wanaongea Kiswahili safi kabisa
 
Hy ndo mikataba sasa ya kisomi


Ila wataozania nyie ni wajinga wakupwa mjue
 
Yuko sahihi ni haki yake. Wanataka kuvunja mkataba wamlipe mpaka mwisho wa mkataba vinginevyo wafikie makubaliano ya pande 2.
 
Wameuziwa mbuzi kwenye gunia wanafungua ndani wanakuta fungo
Yanga ina watu wa namna hiyo wangapi kulinganisha na Simba? Unajifariji kw Yanga wakati timu yako ya Simba ndio wamejaa mafungo.
 
Yanga ina watu wa namna hiyo wangapi kulinganisha na Simba? Unajifariji kw Yanga wakati timu yako ya Simba ndio wamejaa mafungo.
Yanga na Simba katika hilo hawachekani,kote kuna mizigo mingi tu
 
Okwa alitaka 800 naona mo mipesa kamlipa kavunja mkataba,haya utopwizo mpeni mia saba zake chezaji la EPL[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chezaji la EPL linavunjiwa mkataba[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]sjapenda
 
Eti Birigimana wa EPL ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
 
Mkiandika haya muwe mnaweka na uthibitisho wa kama hiyo kauli ni kweli ameisema huyo mchezaji, pia wekeni na mkataba wake na klabu kuona kama kuna hicho kipengele, zaidi ya hapo mtaendelea kubabaika kama mnavyobabaika issue ya Feisenge.
Kama hakuna kipengele ina maana kuna hitajika makubaliano ya pande mbili na ndipo hapo yule ambaye ana kandamizwa anaweza dai haki zaidi...

Yalitokea kwa chezaji la kimataifa kutoka keizer chief, mkataba haukuvunjwa walibakia wakimuuguza kwa kudanganya wamemtoa kwa mkopo huku wakimuuguza na kumlipa mishahara yake...

Kwanini, kwa sababu una piga hesabu mishahara unayomlipa kwa miaka mliyosainishana na gharama ambazo ukivunja mkataba zitakuwa himilivu?

Nenda kapitie act ya fifa kama kielelezo utakuja nishukuru...

Kwa kukaa benchi, mchezaji anaweza kuondoka au kuvunja mkataba kama ilivyokuwa kwa mzee onyango kutaka kuondoka, ila akikataa hiyo inakula kwako...

Sheria nyingi zina wapa unafuu zaidi wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ